Jamaa mmoja alikwenda hoteli hana pesa akataka apewe chakula, akakataliwa. Basi jamaa akawatisha alipowaambia nitafanya kama alivyofanya kaka yangu jana. Wale watu wakaogopa wakijua kwamba jamaa...
jamani hiki ni kituko cha kweli,
jana nimetoka na mwenzi wangu tukaenda kusalimia ndugu fulani ambao waliondokewa/walifiwa na ndugu yao. kwa ufupi familia hii ina uwezo mkubwa tu na wanaishi...
Wakuu nimepita sehemu nikafanikiwa kuona Kipengele Cha Bunge akiongea Anne Kilango Malechela akidai Bara bara kwa wakulima wake wa Tangawizi.
Mama kaongea kwa Jazba mpaka mwenyekiti wa Bunge...
There's this drunk standing out on the street corner, and a cop passes by and says, "What do you think you're doing?" The drunk says, "I heard the world goes around every 24 hours, so I'm waiting...
John was driving when a policeman pulled him over. He rolled down his window and said to the officer, "Is there a problem, Officer?"
"No problem at all. I just observed your safe driving and am...
Nyani Ngabu ana masifa kishenzi.
Lizzy ana mawenge
Faiza Foxy ni mbishi, ukijaribu hata umueleweshe jambo atazidi kung'ang'ania
Pdiddy ana kamtindo wa kupaste threads ndefuuuu kutoka...
Jamaniii..nini kimetokea hapa!??????
Nimepita maeneo ya Break point ya posta naona kibao cha "Samahani kwa usumbufu" yaani wamefunga kabisa aisee..
Sasa mimi Ijumaa nitajiliwazzia wapi...
Baada ya miaka hamsini ya kusema tuko huru katika bendera yetu kuna rangi kubwa nyeusi.nimefikilia sana na sasa nimepata jibu ya kua ni giza na tanesco wanadhihirisha hilo kwa kukata umeme na kwa...
Jamani mimi sina muda mrefu humu JF lakini tangu nimejiunga nimeona manufaa yake...kuna mambo mengi nlikuwa siyajui na sasa JF imenisaidia sana. Ama kweli JF inaleta maana kamili ya kujamiiana...
Sishangai sana kwa mh.jk kwa yale majibu aliyoyatoa alipokuwa akihojiwa na bbc.7bu huyohuyo mh.jk alishauambia uma wa watanzania kukatika umeme itakuwa historia baada ya mitambo ya richmond...
Nape Nnauye ambaye ni katibu mwenezi wa CCM amekuwa hodari wa kughushi katika maisha yake. Kijana huyu alighushi kuwa CCM wakati akiwa na mbinu za kuanzisha chama cha CCJ huku akitumia nyaraka za...
Kitendawili wanaJF ... bila shaka mtaitikia tegaaa:
Ni handsome boy
Anapenda safari za nje
Chukua akili za kwako changanya na za mbayuwayu.. eh
sizihitaji kura za wafanyakazi
hata nyoka akizeeka...
Wadau kwa heshima na taadhima naomba kukopa maneno ya mamaa wa Kericho; JF is beyond keyboards!!!!!!!!!!!
Kwa namna ya pekee kabisa naomba niwashukuru wanaJF wote wa Arusha na wengine toka mikoa...
Wadai mtanisamehe, hali inatisha jamani. Ningekua na uwezo ningepiga fumigation system nzima ya utawala, ianze tena upya. Huu si utani, inaumiza hali ni mbaya na hakuna anaewaza kuhusu hali za...
Mtoto kamuuliza babake:eti baba,unataka kuanza tena shule?baba akauliza:kwa nin umeniulza hvyo?mtoto akamwambia:"jana uthiku niliskia ukimnong'oneza mama,eti kama anapenda muende la pili...!"hvi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.