Huyu mgoni kazidi

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Hivi ndivyo walivyo anaongea sana uongo na kujisifu ,kupeleka umbeya kwa mabosi utafikiri ndicho alichosomea ,sijawahi ona mwanaume mwongo kama huyu mgoni hapa,kwa style hii wangoni wapite mbali nami!
 
Mngoni au mgoni hebu tanabaisha maana naona sasa unatuchafua WANGONI
Ni kawaida yetu sisi wahehe kuwaita nyie Wagoni! Sisi kama wahehe hatujawahi kuwaamini kabisa hawa watani zetu kwenye masuala ya mapenzi. Yaani mngoni, mkabidhi pesa zote unazoweza, asilimia za kuzifikisha salama ni zaidi ya 90. Lakini ukikosea tu ukamwachia mke hata ndani ya saa moja, uwezekano wa kukuta jamaa hajamtokea ni chini ya asilimia moja, bila kujali mke wako ni mzuri or not. Jamaa wanapenda wake za watu hawa usiseme. Ndiyo maana sisi huwa tunarahisisha badala ya kuwaita wangoni, tunawaita wagoni, hahahaa! Ila makabila mengine msituige wahehe, maana sisi na wangoni tunajuana kwa vilemba.
 
Na huyo mwanamke unayemkabidhi kwa huyo mngoni ni wa kabila gani...??? Nanyie wahehe muche kujiuwa............... YAANI MTU KAKUNYIMA CHENJI UNAJIUWA
 
Ni kawaida yetu sisi wahehe kuwaita nyie Wagoni! Sisi kama wahehe hatujawahi kuwaamini kabisa hawa watani zetu kwenye masuala ya mapenzi. Yaani mngoni, mkabidhi pesa zote unazoweza, asilimia za kuzifikisha salama ni zaidi ya 90. Lakini ukikosea tu ukamwachia mke hata ndani ya saa moja, uwezekano wa kukuta jamaa hajamtokea ni chini ya asilimia moja, bila kujali mke wako ni mzuri or not. Jamaa wanapenda wake za watu hawa usiseme. Ndiyo maana sisi huwa tunarahisisha badala ya kuwaita wangoni, tunawaita wagoni, hahahaa! Ila makabila mengine msituige wahehe, maana sisi na wangoni tunajuana kwa vilemba.
Bela kamwene!!!! unoge yu veve! hahaaaa mtani nikiwaona huwa nafurahi saaana! maana najua dawa yenu ndogo saaana huwa naogopa hata kuwatania sababu hamkawii kujining'iniza kwenye miti ya mikusu!!! sisi wangoni bana tunawapenda sana watani zetu hasa kwa kitoweo cha kale kamfugo hahaaaaa
 
Sasa hapa nilipo si wangoni ni wadigo wa Tanga, acha bwana akitokea mdigo mmoja kafuta ujinga kidogo basi tabu kwao wadigo wasioenda shule kabisa. Tupo mradi wa ujenzi wa barabara Tanga- Horohoro kuna mdigo mmoja alipewa cheo cha afisa Uajiri na kidato chake cha 4 basi tabu kweli kwa anawalaghai wadigo wenzake pindi watakapo kazi kuwa mshahara wa kwanza ni wake na hata akiacha kazi form ya NSSF haipitishi mpaka atoe kidogo, hivyo si wangoni tu bali wapo wengi
 
Bela kamwene!!!! unoge yu veve! hahaaaa mtani nikiwaona huwa nafurahi saaana! maana najua dawa yenu ndogo saaana huwa naogopa hata kuwatania sababu hamkawii kujining'iniza kwenye miti ya mikusu!!! sisi wangoni bana tunawapenda sana watani zetu hasa kwa kitoweo cha kale kamfugo hahaaaaa
Chimunguru, umenivunja mbavu mkuu. Sisi huwa hatupendi matatizo, badala ya kukaa kulumbana na mtu au kumuua yeye, unajiua wewe ili kuepusha malumbano.
 
Hapo mtani Lukolo umenifurahisha kweli. Unajiua ili kuepusha malumbano. Leo nitatumia hicho kipande kuwatania watani zangu wakati napata komoni.
 
Back
Top Bottom