Ukubwa wa Bahasha.

Ukubwa wa Bahasha.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,429
Baada ya sakata la Jairo tumejifunza kwamba ukisikia Mbunge wako akiongea kwa uchungu au jazba bungeni ufahamu kuwa anajaribu kuongeza ukubwa wa bahasha lake ukija muda wa mgao.Kigezo kinachotumika ni kama kuna Bilioni moja mgawaji anaambiwa wale wenye kelele wape milioni 5 wengine wape mojamoja.
Kuanzia sasa mbunge hata apige kelele vipi simuamini labda watajane kuwa fulani na fulani huchukua bahasha.
 
INAHITAJI MOYO VITA SIO LELE MAMA VITA NI VITA, NA UNAPOVIANZA USIRUDI NYUMA!!! haihitaji ni muda gani umesubiri kupata haki yako, lakini muda ndio huu, usimuamini mtu amini mabadiliko utakayo yaona. Itafika muda watu watazikimbia hizo bahasha na watoaji wa bahasha hizo watatafuta sehemu ya kuzificha zisipatikane machoni pa watu.
 
Back
Top Bottom