Ugeni mzito nchini... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugeni mzito nchini...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Avatar, Jul 26, 2011.

 1. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nimeiona hii sehemu.. Nkaona si vibaya nikiileta hapa...
   
 2. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahaha aki tena huu ni musiba kama c msiba.
   
 3. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anaingia by saa ngapi? Huwa anakuja na zawadi eeh?
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,496
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Someni thread za wenzenu acheni kurudia topics
   
 5. olele

  olele JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 80
  Huyo ni raisi wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, mbona hamuelewi vitu hvi jamani.
   
 6. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Umenifurahisha Mkuu! Hivi ndivyo alivyo, excatly ni Rais wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa.
  Hivi yupo aliye na kumbukumbu JK amefanya safari ngapi za nje tangu awe rais, au angalau wastani wa safari zake kwa wiki, mwezi, mwaka?
   
Loading...