sio tu kama jela bali kama jehanamu kwani utakuta madent wamesongamana class huku wamekaa chini kila mtu akivizia hewa inayotoka kwenye madirisha yalikaa ka milango(mwalimu):hii ni siku ya tano mfululizo,kila siku nakuchapa viboko,una lipi la kusema? (mwanafunzi):nashukuru kesho na keshokutwa ni wikiendi i.e(jumamosi na jumapili),hatuji shule!