Kasuku mtukanaji

Kasuku mtukanaji

bigbumper

Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
55
Reaction score
8
Kuna jamaa mmoja alikua anataka kasuku asiyetukana sasa akaenda posta na akamkuta mshkaji anauza kasuku akamuuliza ebana huyo kasuku niuzie ila ana matusi jamaa akadai hana sasa akataka kumpima km ananizamu akamwambia kasuku anyanyue mguu mmoja juu kasuku akanyanyu kisha jamaa akamuuliza je itakuaje akinyanyua tna huo mguu ulio bakia kasuku akajibu kubabako sinitaanguka
 
Hii mbona imo kitambo humu MKUU. Hata hivyo sio mbaya.
 
Bigbumper, uandishi mbona wa ngumbaru? Unapoandika kuna utaratibu wa kuweka vituo. Siyo kuandika kama cherehani. Vile vile kuna namna ya kuripoti maneno yaliyosemwa na mtu mwingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom