JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
No complications!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi majuzi nilipata Admission kwenye chuo kimoja hapa Bongo kwa ajili ya kwenda kusoma masters.Sasa kama kawaida nikarudi kwa wadau wangu kwamba nipeni tafu kidogo niende shule ikawa hivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya mazoezi mengi na mifano mingi, akakutana nayo hii hesabu jana kwenye pepa ya form 4, dah nikachanganyikiwa sijui kama atafaulu...kweli "Mathematics ni janga la kitaifa"
0 Reactions
8 Replies
2K Views
lazima awe mdogo mdogo hivi.... mume upishane nae umri(awe mkubwa)... nini logic behind ?lol
0 Reactions
7 Replies
2K Views
BAHILI;Ndizi moja sh.ngapi? MUUZAJI;Ndizi moja sh.100. BAHILI;Nipe kwa sh.60. MUUZAJI;Kwa sh.60 utapata maganda tu. BAHILI;Shika hii sh.40,nipe ndizi,hayo maganda ya sh.60 yatoe siyataki!
2 Reactions
29 Replies
3K Views
After 10 years of selfless service, a man realized that he has not been promoted, no transfer. No salaries increase, No any recommendation and that the company is not doing anything about it. So...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtalii na mtafsiri wake hotelini Mtalii: Do you have vegetables here. Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa. Waiter: Vijimeza vidogo hatuna. Mtafsiri: No sir, they don't have Mtalii: OK, fine, do...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Inasemekana wabongo kwa upole na ukarimu ni nambari wani.cheki hii. Eti m'bongo akifariki na kwenda mbinguni huwa hivi. M'bongo: malaika,mimi ni wa motoni ama mbinguni? Malaika: kaka,wewe ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana nilitoka Tanga nikachelewa kufika dar,home kinyerez ndani zaid nikaona nienda magomeni kagera karibu na Friends conner Hotel kuna mlolongo wa Nyumba za wageni. Nikiwa ndani kwa kweli...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Mswahili mmoja mvivu sana alikwenda kwa kinyozi, alipokaa tu kwenye kiti kinyozi akamuuliza unataka kunyolewa ndevu au nywele? Mvivu akajibu ndevu, kinyozi akamwambia inua kichwa basi, jamaa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya kuwapeleka wanaanga wake kwenye safari za anga ya juu na wanaanga kutembea kwenye anga ya juu kwa mafanikio, China imepiga hatua nyingine muhimu katika juhudi zake za kutafiti anga ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tangu ushindi wa kishindo Igunga tumekuwa tukipokea salamu nyingi za pongezi kutoka pande zote za dunia. Hatuna cha kuwalipa ila tunasema asanteni sana na Mungu awabariki.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
I sleep tight, a smile upon my face... why?
2 Reactions
44 Replies
4K Views
natamani sukari kilo 1 iwe 100,000 unga kilo 1 - 50,000 chumvi kilo 1 - 80,000 mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000 bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @ na vinginevyo hapo ndo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wote kwa mpigo. Nina vifaranga vya bundi 38.viko kwenye hali ya kutia hamu ya kununua. Naviuza kwa bei nafuu.mwenye kuhitaji anitafute kwenye google.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kijana mmoja miaka ya 90,alimbaka bibi yake mzaa baba.baba akachukia na kumpeleka mtoto mahakamani,cku ya kesi,jamaa akaulizwa na hakimu akakubali,kuwa ni kweli,lakini kwa nini baba yake kachukia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Utafiti uliofanywa pamoja na majaribio katika kinga mpya umedhihirisha kuwa kinga hii mpya imefanikiwa kukinga tumbiri asiambukizwe virusi vinavyosababisha ukimwi na kutokana na hilo kutowa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Hi
Mambo vp?wazima?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Utaumbuka, benki nyingi hazina vyoo vya wateja
0 Reactions
24 Replies
3K Views
A little girl complained to her father, "Daddy, I wish I had a little sister!" Trying to be funny, her father joked, "But honey, you already have a sister!" Confused, the toddler asked, "I do?"...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom