Mwanangu sijui atafaulu Hesabu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanangu sijui atafaulu Hesabu!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Sizinga, Oct 4, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Baada ya mazoezi mengi na mifano mingi, akakutana nayo hii hesabu jana kwenye pepa ya form 4, dah nikachanganyikiwa sijui kama atafaulu...kweli "Mathematics ni janga la kitaifa"

  [​IMG]
   
 2. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hahahhahahahhah! Alidhani nane imegeuzwa maskin
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,103
  Likes Received: 3,867
  Trophy Points: 280
  kama mwalimu mwenye hajui hesabu mwanafunzi atajuwaje?
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  ayi ayi ayi.....
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,791
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hahahahah nimecheka sana
   
 6. c

  c..rella Brains Member

  #6
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh uyo hta maombi yanaeza bounce hahahah
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,035
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  inawezekana tatizo ni mwalimu na si mwanao. Niligombana na ml mkuu wa shule ya binti yangu wakati fulani baada ya kuona kituko hiki

  1x2=02 nilipomuuliza kwa nini ameandika 02 akajibu mwalimu alitufundisha hivyo, kwamba sifuri haina thamani, bila kuwafafanulia kuwa inategemeana na ilipo hiyo sifuri.

  nikamuuliza kwa maneno sita mara saba ni ngapi akanijibu arobaini na mbili. lakini swali hilohilo alikuwa amelikosa kwenye mtihani maana aliandika hivi;

  6x7=402 akili na tumbo langu vilichafuka sana. Baada ya kuonana na mwl mkuu kuhusu hili mwalimu alikiri makosa na akajirekebisha.

  Wazazi tufuatilie watoto hata writing style pia. Kuna waalimu wengine hupenda kuandika kwa mfano 8 kuanzia kushoto kwenda kulia. inapofika mtoto anatakiwa aandike S au 5 inakuwa shughuli pevu.
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  twaweza pata kahistoria kako baba ukia o-levol??ili tuanzia hapo
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Hahahahaha! Mwanao atapata maswali mengine usikonde.
   
Loading...