bibi kizee baada ya kupiga kura igunga alikua anahojiana na mtangazaji mmoja.
mtangazaji akamuulia;hali ya uchaguzi unaionaje?
bibi akajibu;nimewapigia vidole vili.akimanisha chadema...
Michango au ushuru wa bima ya afya tunayochangia au kukatwa kwenye mishahara yetu sisi watumishi wa serikali, inaweza kutumika kuwatibu walala hoi ili wasitozwe chochote wanapohudhuria medical...
jamaa mmja alkwa ametoka morogoro kijijin alpofka dar aliingia kwenye bar moja na kuagzia soda mhudum akamletea soda ya bardi alpomuuliza mhudum mbna soda ya bard akaambiwa ilikuwa kweny frij tang...
1. If you're too open minded, your brains will fall out.
2. Age is a very high price to pay for maturity.
3. Going to a mosque doesn't make you a Muslim any more than going to a garage makes...
In the word there is a man and a woman,
If ur a woman ur safe,but a man has to choose whether to be a civilian or a military one,
If u choose to be civilian ur safe, but military one to go for a...
Malawi kupiga marufuku 'kupumua'?
Malawi kukataza watu kujamba?
Mzozo umezuka nchini Malawi kufuatia mapendekezo kutaka kufikishwa bungeni kuhusu kujamba, kuwa ni kosa.
Waziri wa sheria wa...
Wale wanachama wote wa CHAWAPUTA mnatangaziwa kikao kesho jumapili muda na mahali ni kule kule kwa siku zote...mada ni kupokea wanachama wapya, kupata updates za sabuni mpya na bomba kwa haya...
YANAYO TUFANYA TUWE WASWAHILI...
1.Unawasalimia watu usiowajuwa na kutaka urafiki na kila anayetaka kuzungumza na wewe, halafu unaanza kumwita mtu huyo(usiyemjuwa undani wake wala tabia...
nimewiwa kuomba watanzania
2015 tuaachane na ukaskazini na kusini sasa tuweke watu wenye akili zao na ambao wanawae
kuendeleza nchi hii bila kutumika kama washmba pale magogoni
nimewiwa kusema...
BATAMIKI kufanya dua ikiwa CHADEMA haitaomba radhi
Kauli CHADEMA kuwatuhumu masheikh kuwa wanatumika kuipa ushindi CCM katika uchaguzi mdogo wa ubunge Igunga, zimechukua hatua mpya baada ya...
Wana jamii ni siku nyingi sasa nilipotea humu ndani hadi naona aibu leo hii nimekuja naona hata aibu sijui nianzie wapi kwani hata wale niliokuwa nawafahamu watakuwa wamenisahau......ila kwakuwa...
One day two very loving parents got into a huge fight, the man called the women a "bitch" and the women called the man a "bastard".
Their son walked in and said "What does bitch and bastard...
:cheer2:
Padre alipotea katikati ya mji akiwa anatafuta kwena mahali ofisi ya posta ya wilaya ilipo....
Kwa bahati nzuri Padre akamwona kijana mmoja mstaarabu akaamua kumuomba yule kijana...
Katika basi mama mmoja altaka kumnyonyesha mtoto, mtoto akakataa, mama akamwambia 'nyonya km hutaki nampa anko anyonye' anko na kaka mmoja ambae ni abiria aliekaa pembeni na huyo mama ,mtoto...
during their silver anniversary,a wife reminded her husband, do you remembered when you proposed to me, I was so overwhelmed that i ddnt talk for an hour?'' The husband replied: ''Yes, honey, that...
Katika kile kinachoonekana kama kuhitimisha kwa mbwembwe Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi, chanzo chetu cha uhakika kutoka jijini mwanza kinaarifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.