Natamani haya yatokee kwenye nchi yetu

Natamani haya yatokee kwenye nchi yetu

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
12,771
Reaction score
4,656
natamani sukari kilo 1 iwe 100,000

unga kilo 1 - 50,000

chumvi kilo 1 - 80,000

mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000

bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @

na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri mana wananchi wanafanya maamuzi kwa mazoea tu.
 
Mmeisha sema akili zenu haziko sawa tangia jana , tunawasamehe !
 
natamani sukari kilo 1 iwe 100,000

unga kilo 1 - 50,000

chumvi kilo 1 - 80,000

mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000

bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @

na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri mana wananchi wanafanya maamuzi kwa mazoea tu.

Kwani unakatazwa kulipa kiasi hicho ukienda dukani? Mijitu iliyozoea kumwaga damu utaijua tu!
 
Umetaja vyo lakini umeacha BANGI, wanacdm utawajua tu.
 
Ombi lako limesikika kijana; ili kufikia lengo hili kwa haraka zaidi ni vema tukaongeza zaidi kasi ya mikataba feki nyingine nyingi tu kwa ajili ya kujitafutia hela za kuja kununulia shahada za wapiga kura 2015.

natamani sukari kilo 1 iwe 100,000

unga kilo 1 - 50,000

chumvi kilo 1 - 80,000

mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000

bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @

na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri mana wananchi wanafanya maamuzi kwa mazoea tu.
 
Kukodisha helkopta wakati wa uchaguzi iwe shilingi 1,000,000,000,000 kwa saa moja.
 
Gest chumba kiwe 500,000 short time,nimechoka na wa TZ,kuna nchi naona aibu kusema natoka tz,watajua poyoyo
 
Kwani unakatazwa kulipa kiasi hicho ukienda dukani? Mijitu iliyozoea kumwaga damu utaijua tu!
Nikibishana na mji****a nami nitaonekana mji****a! labda tuanzie hapa 1+ 1 = .....?
 
natamani sukari kilo 1 iwe 100,000

unga kilo 1 - 50,000

chumvi kilo 1 - 80,000

mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000

bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @

na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri mana wananchi wanafanya maamuzi kwa mazoea tu.
Kisha ccm waenelee kuhonga 2000, wali na kofia
 
natamani sukari kilo 1 iwe 100,000

unga kilo 1 - 50,000

chumvi kilo 1 - 80,000

mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000

bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @

na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri mana wananchi wanafanya maamuzi kwa mazoea tu.
yote haya yatokee ili tukuchague wewe rafiki yangu ? hapana acha tuendelee kupokea 10,000/- zetu bana,wameahidi uchaguzi ujao itakuwa 20,000/- na ukikubali kuachia kitambulisho cha kura wameahidi 50,000/- labda swahiba nawe ufike bei ya juu yake hahahaha!
 
hivi na hii ni habari njema ya kisiasa au ilipaswa iende jukwaa la jokes ????????????
 
yote haya yatokee ili tukuchague wewe rafiki yangu ? hapana acha tuendelee kupokea 10,000/- zetu bana,wameahidi uchaguzi ujao itakuwa 20,000/- na ukikubali kuachia kitambulisho cha kura wameahidi 50,000/- labda swahiba nawe ufike bei ya juu yake hahahaha!
ha haaa haaaa.................haya ndgu me hata kwa bei gani siwaaachii shahada yangu
 
si unaongea hivyo hapa forum ? wakija kwako kwenye zile kampeni za 'shuka hadi shuka' tena katikati ya mwezi unaachia kitambulisho kiulaini tu hahaha!
 
natamani sukari kilo 1 iwe 100,000

unga kilo 1 - 50,000

chumvi kilo 1 - 80,000

mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000

bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @

na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri mana wananchi wanafanya maamuzi kwa mazoea tu.

grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
Back
Top Bottom