Mtalii mzungu na mkalimani hotelini

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
3,366
3,057
Mtalii na mtafsiri wake hotelini
Mtalii: Do you have vegetables here.
Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
Mtafsiri: No sir, they don't have
Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs.
Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto.
Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa hapa.
Mtafsiri: They don't cook here
Mtalii: What type of snacks do you have here.
Mtafsiri: Aina ngapi ya nyoka mnao hapa,
Waiter: We bwana we hapa hatupiki aina yeyote ya nyoka, mwache akale nyumbani kwao.
Mtafsiri: They don't cook any type of snacks here, maybe you can go back and eat at home.
Mtalii: OK, at least give us a cocktail juice.
Mtafsiri: OK, tupatie hata juisi ya mkia wa jogoo.
Waiter: Hebu tokeni na bangi zenu hapa, tena sasa hivi kabla sijakasirika.
Mtafsiri: Lets get out of here, I think this man is crazy, he want to call the police!
 
seseme

Member
Sep 27, 2011
30
2
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha help me water hoo my god i can breath hooo it's sooooo funny hahaha.
 
Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
192
daaaah! classic. aisee natamani ningeisomea hom nicheke kwa kujiachia.
ofsini naeza kula ban sasa hv!!
 
DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Mtalii na mtafsiri wake hotelini
Mtalii: Do you have vegetables here.
Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
Mtafsiri: No sir, they don't have
Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs.
Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto.
Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa hapa.
Mtafsiri: They don't cook here
Mtalii: What type of snacks do you have here.
Mtafsiri: Aina ngapi ya nyoka mnao hapa,
Waiter: We bwana we hapa hatupiki aina yeyote ya nyoka, mwache akale nyumbani kwao.
Mtafsiri: They don't cook any type of snacks here, maybe you can go back and eat at home.
Mtalii: OK, at least give us a cocktail juice.
Mtafsiri: OK, tupatie hata juisi ya mkia wa jogoo.
Waiter: Hebu tokeni na bangi zenu hapa, tena sasa hivi kabla sijakasirika.
Mtafsiri: Lets get out of here, I think this man is crazy, he want to call the police!

Dah! nimependa hii.
 
pomo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
267
30
kumbe kiswahili ndo hajui, mbona anamjibu vzuri tu huyo mdhungu! au anafanya makuthudi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

3 Reactions
Reply
Top Bottom