je ni kweli? Upole wetu unachangia serikali kutunyanyasa?

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Inasemekana wabongo kwa upole na ukarimu ni nambari wani.cheki hii.
Eti m'bongo akifariki na kwenda mbinguni huwa hivi.
M'bongo: malaika,mimi ni wa motoni ama mbinguni?

Malaika: kaka,wewe ni wa motoni.

M'bongo: ahsante malaika.haya nielekeze ni wapi..malaika anamuelekeza.na hata anapofika motoni na kupata kuna matatizo bado anakuwa mpole.kwa mfano;

M'bongo: Ibilisi,tafadhali njoo utusaidie.huku upande wetu moto umezimaaa.
Ha ha ha ha.
 

mteule

Member
Aug 2, 2007
81
67
upole wetu ni njia ya kuficha weakness, kama ujinga na unafiki ambao umetujaa. Tunashindwa kusonga mbele kwasababu watu wameridhika na kidogo tulichopata
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom