Watanzania ni noma......

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,326
Hivi majuzi nilipata Admission kwenye chuo kimoja hapa Bongo kwa ajili ya kwenda kusoma masters.Sasa kama kawaida nikarudi kwa wadau wangu kwamba nipeni tafu kidogo niende shule ikawa hivi:

Kwanza hatukuamini kwenye fedha .
Pili lifestyle yako haieleweki
na mambo mengine mengi tu ....
Ila nikawaambia wakati nipo nasotea Bachela mlishindwa kunipa tafu yoyote ila mliweza kuchangia send off ya milioni kumi kwa hiyo hizi sababu sio kitu cha msingi kwanza fedha yenyewe nataka mnikopeshe tu na sio vinginevyo na ni mil.2.nyingine nitaongeze ikawa taabu kweli

sasa watz tubadilike haya mambo ya muda mfupi tunayapa kipaumbele sana kuliko mambo ya msingi......samahani kwa ambao wameshabadilika wasaidieni wenye tabia hizi........................
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom