Little Sister

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,166
9,814
A little girl complained to her father, "Daddy, I wish I had a little sister!"

Trying to be funny, her father joked, "But honey, you already have a sister!"

Confused, the toddler asked, "I do?"

"Sure," her dad said, pulling the kid's chain. "You don't see her because every time you come in the front door, she scoots out the back door!"

The confused toddler thought for a moment and then beamed, "You mean just like my other daddy!"
 

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
Umenikumbusha suala kama hili. Kuna Padre mmoja kule Kasita Seminary akawa anawadanganya watoto wa kizungu (Mr Dish) kwamba watoto huwa wananunuliwa. Watoto wa kizungu wakamwambia, no it is not true. They are born by mothers. We saw Laura when she was being born at Ifakara Hospital by our mother. Fr Chahali akabaki anacheka tu bila kusema chochote. Kumbe wakati mama anajifungua, Mr Dish akawa anachukua video pictures, baadae akaja kuwaonyesha watoto jinsi mwenzao alivyokuwa anazaliwa.

Wote tulibaki tukitabasamu, kwa jinsi wazungu walivyowawazi ktk haya mambo.
 

Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,223
2,902
Kwiiiiiiiiii kwiiiiiii! natamani na mama yake angekuwa pembeni hapo anawasiliza!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom