Siku moja mlevi akiwa chakali alikaa siti moja na mlokole.Mlokole akamwangalia kisha akasema,"mpendwa unakwenda motoni".Mlevi alipoambiwa maneno hayo, akapayuka,"dereva nishushe,mi nilifikiri...
Umekuja mjini kwa ajili ya kushughulikia udahili wa chuo.
Ndugu uliyefikia kwake anakunyima chakula, anakwambia kwake ni marufuku mgeni kuangalia tv, kusikiliza redio, kuchaji simu wala kupiga...
1. Nunua helmet ya pikipiki
2. Nunua wigi
3. Vaa helmet
4. Vaa wigi juu ya helmet.
5. Zunguka maeneo yote ya lsanga, lwambi, Nzovye, Simike, Nonde, Ghana kwa raha zako.
Ukipigwa nondo usianze...
Siku moja nilikuwa natoka musoma kwenda mwanza njiani jamaa akabanwa na mkojo akamwomba konda asimamishe gari akojoe akaambiwa pale hawaruhusiwi kusimama ni hifadhi,jamaa akavumilia huku...
Hello wanaJF ninayofuraha kuwaalika katika birthday party yangu hapa nyumbani i wish niwe nanyi wadau kwani MMU makes my life very comfortable ila mazingira hayaruhusu. LOVE U ALL
Source FB katika wall ya Edward Lowasa ambaye anajulikana kwa jina la Edward Lowasa the NEXT President of United Republic of Tanzania.
tarehe 13.10.2011 saa 12.59 pm amepost maneno yafuatayo...
hizi sehemu zinanishangaza....
sehemu imeandikwa ;
usitupe taka hapa....sehemu hiyo unakuta imejaa taka kibao...
si ruhusa kukojoa mahali hapa....harufu ya mkojo kwa kwenda mbele
usikae hapa, by...
niliwahi kuulizia kwa nn watu wanashangaa mtu akinunua KY humu ndani,..ile mada ikapotea sasa cjui nimekiuka maadili...c unajua um just a senior member...naomba muongozo wenu!!
*
It worth reading the story; Swali moja majibu kibao.
*
Doctor :What happened to your arm?
*
Rweumbiza: I broke it.
Doctor: Where and How did that happen?
Rweumbiza :Okey. It was a normal...
Katika Maandiko Matakatifu, UKOMA kama ulivyo UKIMWI ulikuwa ugonjwa wa kuambukiza usio na tiba wagonjwa walitenngwa. Tusome Mambo ya Walawi 13:45-46.
Mtu mwenye ukoma aliye na pigo ndani yake...
Kuna kituko kimetokea cha kimataifa, Ndege ya KLM ilikuwa inaambaa ambaa kuutafuta uwanja wa ndege wa JNIA, Dar. walifanya mawasilianao na operator wa dar wakaambiwa wanaweza kutua bila shida...
Habari wakuu?
Leo ni tarehe yangu ya kuzaliwa (aka birthday). Nikitazama nyuma na kuona baraka za Mungu najiskia kujazwa na furaha.
nina familia yenye upendo (Mume na watoto wawili tunao walea...
Kama ungetakiwa kuchagua leo ungeishi wapi kati ya hizi sehemu mbili,na je ni kweli maisha arusha ni ghali kuliko dar,whats the future of arusha vs future of dar?
Mambo si shwari ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) jimbo la Mbarali mkoani Mbeya baada ya mbunge wa jimbo hilo Mheshimiwa Dickson Kilufi kukamatwa na jeshi la polisi na kusindikizwa mjini Mbeya...
Sikiliza mama we nikwambie hadithi
Mikono yangu midogo we siwezi kufanya kazi..
Lakini Mpenzi mama we nikikuwa mkubwa
Nitakusaidia we na wewe upumzike .na wewe upumzikeeeee