Mlevi na mlokole.

Mlevi na mlokole.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Siku moja mlevi akiwa chakali alikaa siti moja na mlokole.Mlokole akamwangalia kisha akasema,"mpendwa unakwenda motoni".Mlevi alipoambiwa maneno hayo, akapayuka,"dereva nishushe,mi nilifikiri unaenda kariakoo kumbe unaenda motoni!".
 
Au leo siko sawa nini?? Manake kila joke ninayosoma hainifurahishi.!
 
Alivyoshuka tu kwenye daladala, akaingia bar ya jirani, akapiga supu na za baridi mbili kwanza ndo akapata akili.
 
Back
Top Bottom