Nimekakumbuka haka kawimbo………jamani enzi hizo………

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,332
Sikiliza mama we nikwambie hadithi
Mikono yangu midogo we siwezi kufanya kazi..
Lakini Mpenzi mama we nikikuwa mkubwa
Nitakusaidia we na wewe upumzike…….na wewe upumzikeeeee……
 

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,332
dah,pole sana mpendwa.

yeah nilishapoa na kusahau, ila leo nimekumbuka huu wimbo, alikuwa ananifundisha nilipokuwa mdogo, mama yangu alikuwa ni mwalimu wa Elimu ya watu wazima enzi hizo................Good memory eh!
 

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,709
3,215
u tek mi bak mtambuzi, huo ni wimbo nilioupenda sana udogoni, nilikuwa nikiuimba karibu nilie! aaah?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom