Housegirl au Houseboy yupi bora?

Natalie

Senior Member
Sep 25, 2011
165
27
Bora houseboy, mara nyingi mahousegirl wanatembea sana na mabosi wao wa kiume, mababa wenye nyumba na hata sometimes watoto wao wa kiume, but ni mara chache wamama wenye nyumba kutembea na mahouseboy, but penda kuwa makini na mahouseboy, wanatabia ya kuwachakachua watoto wa wenye nyumba, kuwa makini na watoto wako wa kike na wa kiume, mahouseboy wengine ni wabakaji.
 
Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,304
291
housegal ni bora kama kutakuwepo na shamba boy maana mashamba boy watu wao ni housegal ila house boy ni bora zaid sababu yeye hana madhara sana yeye watu wake wa mtaani tu.
 
MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
121
Bora housegal kwanini mama akikuboa loanisha soksi kwa maji tafuta korido mpaka chumbani kwake, usiniulize kufanya nini.....
 
Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,336
inategemea unamtaka wa kazi gani. kama wote mnafanya kazi au wote mnatoka asubuhi na kurudi jioni bora housegirl sababu mara nyingi ni waaminifu zaidi na wanatake care ya nyumba viziri kama unawaonesha they are part of the family. ila kama mwenyewe hujiamini basi ni bora houseboy ils ujue mapema hawaaminiki (wengi ni wezi) na lazima close supervision.
Shida ya housegirl ni kama wewe utamtamani tu, hawana shida ingine yoyote.
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
Bora houseboy, mara nyingi mahousegirl wanatembea sana na mabosi wao wa kiume, mababa wenye nyumba na hata sometimes watoto wao wa kiume, but ni mara chache wamama wenye nyumba kutembea na mahouseboy, but penda kuwa makini na mahouseboy, wanatabia ya kuwachakachua watoto wa wenye nyumba, kuwa makini na watoto wako wa kike na wa kiume, mahouseboy wengine ni wabakaji.
unaakili ww sana uko wapi nikutumie hela ya bia fasta loh!
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
inategemea unamtaka wa kazi gani. kama wote mnafanya kazi au wote mnatoka asubuhi na kurudi jioni bora housegirl sababu mara nyingi ni waaminifu zaidi na wanatake care ya nyumba viziri kama unawaonesha they are part of the family. ila kama mwenyewe hujiamini basi ni bora houseboy ils ujue mapema hawaaminiki (wengi ni wezi) na lazima close supervision.
Shida ya housegirl ni kama wewe utamtamani tu, hawana shida ingine yoyote.
unaona mbali mnooo mpz
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115
inategemea unamtaka wa kazi gani. kama wote mnafanya kazi au wote mnatoka asubuhi na kurudi jioni bora housegirl sababu mara nyingi ni waaminifu zaidi na wanatake care ya nyumba viziri kama unawaonesha they are part of the family. ila kama mwenyewe hujiamini basi ni bora houseboy ils ujue mapema hawaaminiki (wengi ni wezi) na lazima close supervision.
Shida ya housegirl ni kama wewe utamtamani tu, hawana shida ingine yoyote.

kweli kabisa RR, mahb wengi ni wezi na wachahe wana mwamko wa maisha hivyo ni ngumu kukaa nae muda mrefu. hg unaweza ukaishi nae hadi akaolewa hapo hapo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom