Salamaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamaa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Banner, Oct 13, 2011.

 1. B

  Banner Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwakua ni mara yangu ya kwanza kujiunga nanyi,natanguliza salamu kwa wote wanachama naomba ushirikiano wenu katika kuchangia hoja mbali mbali
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Karibu jukwaani!!!japo umekosea kuingia bila kusalimia wakubwa!!!usirudie tena
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umeingia kusiko. ungeanza jukwaa la kujitambulisha. hujachelewa, anzisha thread kule, upokelewe na welcome comitee (kina katavi na aminata, lol)
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hivi umepitia mlango gani vile? Heheheee.......karibu sana!!
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  We ni jinsia gani?kama ya kike mi ndo niko mapokezi
   
 6. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimeipenda sana hii
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Amina naomba pliz kama wewe pia ni mgeni tukutane kule pm kwenye sebule ya mapokezi
   
 8. N

  Njabecom New Member

  #8
  Oct 14, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zimba,wa r chuga nimetimba,kazi kama kimba,hapa hakuna kuimba,hapa ni ngumu alafu nyeusi tuu kama lostboy.
   
Loading...