JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
yaani kuonyesha jinsi ninavyoipenda jf
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Yaani ata ufanye nini hatoi na anaweza ata kukuambia sikupi ata unifanye nini.Wengi wetu ambao tumejaribu kumwendea kusudi tuweze kumaliza au kutatua matatizo yetu anatutolea out. Yaani mimi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wadau wa jf mwenzenu nakereka sana na hii tabia ya baadhi ya watu utakuta limtu asubhi na mapema linapiga mswaki nje tena hadharni kabisa limevaa taulo na mtumbo wake lina tema mikohozi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa waliokuwepo mwanzoni mwa mwaka niliweka hapa kichekesho kuhusu 'ripoti ya Mwaka' niliyotumiwa na mfanyakazi mwenzangu wakike mwenye utani sana,sasa kanitumia sms nyingine kuhusu serikali...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Siunajua wasanii wa bongo mbwembwe zao wakipanda jukuani? Akaanza wa kwanza Mr.blue: oyoooh, blue hapa, akaimba kisha akashuka Fid Q: ni fid q hapa, ngosha the don Juma nature: ni juma nature...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
First of all I would like to tell you that siku hizi niko bize sana na ndo maana hata Jf nakuja kwa kuibia mno! but sio mbaya nikawakumbusha kuwa miaka ya nyuma tarehe kama ya leo my mum...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Polisi:Nimekuja nyumbani kwako kukupa taarifa kuwa ajali ya gari imetokea, inasemekana mke wako amefariki,naomba twende ukaangalie kama utaitambua maiti. Mme mlevi: Potezea bhana usinisumbue,kama...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hello wana JF wa Iringa nipo hapa mjini kama vp tutafutane wakuu pamoja sana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dear Friends, There is significant variations of wages for different category of workers. Unskilled workers Skilled workers Semi Skilled workers. Mt query is how these categories are...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A business man was interviewing applicants for the position of divisional manager. He devised a test to select the most suitable person for the job. He asked each applicant, "What is two and...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
jamani mimi nafanya shunghuli mbalimbali kwa kushiriana na ndugu zetu wachaga nimegundua wachaga wengi hasa wanaume hawajui kuongea, maana yangu ni kwamba hawana uwezo wa kuongea kama watu wa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Akitangaza katika kipindi cha jahazi, mtangazaji Kibonde ameiponda tuzo ya Mo Ibrahimu inayotolewa kwa viongozi/marais wa Africa wanaofanya vzuri katika uongozi wao. Ameielezea tuzo hiyo kuwa ni...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Avatar hizi zimekamilika kwenye fani.. 1. Hossam jamaa ameifurisha baiskeli yake na ndizi-sijui mchaga huyo, kisha anaikokota kwa mikogo..asee 2. Rev sr Masanilo Prefix ya jina lake ni Rev...
1 Reactions
102 Replies
8K Views
Jamaa akiwa amepiga suti nyeupe,alikuwa akisafiri kwa mguu kuelekea kijijini kwa wakwe zake pamoja na mkewe.Jamaa alibanwa na mkojo lakini akaona uvivu kuchepuka porini kukojoa,akaamua kujikaza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
After a long enjoyable night of making love to his lady, this guy notices a photo of another man on her cabinet next to the bed. He begins to worry. " Is this your ex-husband?" he nervously...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jeff Dunham - Achmed the Dead Terrorist - YouTube
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Wanajanvi naomba msaada kuondokana na tatizo hili.Kwani anapenda sana kulamba lamba ata mimi ananilamba sijui chanzo ni nini? Yaani ata nikitoka kazini nafungua gate utaona tu ameanza kutoa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mtoto alikua anabishana na mama yake. MTOTO:Mbona jogoo huwa anamkimbiza kuku jike? MAMA:Kamuibia chakula chake. MTOTO:Mbona mbuzi dume huwa anamdandia jike?MAMA: Kachoka kutembea anataka...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama inarudiwa mnisamehe, ila nimeipenda: "Salary Theorem" states that "Engineers and Scientists can never earn as much as Business Executives and Sales People." This theorem can now be...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Kati ya wale madiwani kadhaa wa Arusha waliovuliwa udiwani kuna Rasta mmoja aliyejipatia umaarufu kwa jina la Charles David Mpanda. Jamani diwani rasta wa Arusha kata ya Kaloleni kwa tiketi ya...
6 Reactions
55 Replies
7K Views
Back
Top Bottom