Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
Kama ungetakiwa kuchagua leo ungeishi wapi kati ya hizi sehemu mbili,na je ni kweli maisha arusha ni ghali kuliko dar,whats the future of arusha vs future of dar?
Arusha ni pazuri kwa hali ya hewa tu ila kwa vingine dar mambo yote
hebu nenda ukaanze maisha TANDAHIMBA huko unag'ang'ania mijini tu maisha ya leo haya utajikuta mshahra unaishia kwenye daladala hasa darahsante,kwa vingine vp?kwa mfano mimi ni kijana nimemaliza tu shule utanshauri nianze maisha wapi?na je hali ya hewa 2 ndio inafanya wazungu wapende arusha kuliko dar?whats so special in each one?
hebu nenda ukaanze maisha TANDAHIMBA huko unag'ang'ania mijini tu maisha ya leo haya utajikuta mshahra unaishia kwenye daladala hasa dar
Niulize wakati wowote ule ntachagua A-town!!
Dar pazuri kukaa kwa muda mfupi ila sio kuishi (kwa maoni yangu kwasababu napenda utulivu) ila nadhani ni parahisi zaidi kuanza maisha maana kule anything goes....ila pazuri zaidi ni kijijini!!Nenda kalime bana maindi na maharage yaongezeke sokoni!
Sure!Mara mia ungesema MWANZA Vs ARUSHA
Mmazalendo! Mi ningeishi A town ijapo maisha ya Arusha ni ya juu kuliko Dar lakini hali ya hewa itanifanya niipende bure tu.
Kama vile kulinganisha:Hivi kweli unaweza kulinganisha Arusha na Dar?
Kwanza mnalinganisha kwa nini?