Mbinu za kujikinga na NONDO za MBEYA

Mbinu za kujikinga na NONDO za MBEYA

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,142
Reaction score
166,070
1. Nunua helmet ya pikipiki
2. Nunua wigi
3. Vaa helmet
4. Vaa wigi juu ya helmet.
5. Zunguka maeneo yote ya lsanga, lwambi, Nzovye, Simike, Nonde, Ghana kwa raha zako.
Ukipigwa nondo usianze kucheka utaharibu kinga yako
 
Si wanakukamata na kukuvua ilo wigi then unachezea kichapo
 
1. Nunua helmet ya pikipiki
2. Nunua wigi
3. Vaa helmet
4. Vaa wigi juu ya helmet.
5. Zunguka maeneo yote ya lsanga, lwambi, Nzovye, Simike, Nonde, Ghana kwa raha zako.
Ukipigwa nondo usianze kucheka utaharibu kinga yako
ukipigwa nondo za shingo utafanyeje? hilo wigi litasaidia?
 
Mkuu lakini si ni shurti Nondo ilowe damu?
 
Kuna mtu alisha jarib walimfunua helmet wakampiga nondo wakamvisha.
 
1. Nunua helmet ya pikipiki
2. Nunua wigi
3. Vaa helmet
4. Vaa wigi juu ya helmet.
5. Zunguka maeneo yote ya lsanga, lwambi, Nzovye, Simike, Nonde, Ghana kwa raha zako.
Ukipigwa nondo usianze kucheka utaharibu kinga yako
Bujibuji inakuwaje unajua mbinu zote?Unataka kutuambia nini?
 
Back
Top Bottom