Naomba muongozo hili ni tusi?

Naomba muongozo hili ni tusi?

NG'ADA

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
152
Reaction score
15
niliwahi kuulizia kwa nn watu wanashangaa mtu akinunua KY humu ndani,..ile mada ikapotea sasa cjui nimekiuka maadili...c unajua um just a senior member...naomba muongozo wenu!!
 
Mbona heading na maelezo ni mbingu na nchi? rudia tena..... kama unaongelea KY pia elezea ili tukuelewe kifupisho cha KY una maanisha nni? Nitarudi kama utafafanua...
 
hili swali ukiwauliza moderators watakupatia jibu sahihi zaidi, umewauliza?
 
ni u senior au umekurupuka? You might be form four leaver!
 
niliwahi kuulizia kwa nn watu wanashangaa mtu akinunua KY humu ndani,..ile mada ikapotea sasa cjui nimekiuka maadili...c unajua um just a senior member...naomba muongozo wenu!!

mbona haueleweki kijana?
 
KY ni Kenya! Elezea unachotaka kusema kuwa wazi hii JF bana
 
unamaanisha yale mafta ya kulainisha sehemu za siri? fafanua ili watu wakusaidie kijana!

(ila avatar yako unaonekana unamasaburi fulani hivi tunayaita masaburi down)
 
sehem za siri????
unamaanisha yale mafta ya kulainisha sehemu za siri? fafanua ili watu wakusaidie kijana!

(ila avatar yako unaonekana unamasaburi fulani hivi tunayaita masaburi down)
 
niliwahi kuulizia kwa nn watu wanashangaa mtu akinunua KY humu ndani,..ile mada ikapotea sasa cjui nimekiuka maadili...c unajua um just a senior member...naomba muongozo wenu!!
Ng'ada, ID yako kwa huku nilipo ina maana ya kitu ya ukweli kabisa au mtu akifupisha anasema kitu ng'ada. Swali kwako KY ni kitu ng'ada?
 
We umeuliz swali lako vibaya. rudi kwenye swali lako fanya editing. una option hizi hapa:
1. Nilikua na post, imepotea, nifanyeje? (nakushauri kabisa uwaandikie mods)
2. Nilikua na post kuhusu KY imepotea. nauliza tena: kununua KY ni makosa?
Kuwa kwako senior member hakuusiki kabisa na ujuzi wako wa either threat imevutika au laa. (By the way, hongera kwa kua senior member)
 
umenimix mbaaya...labda unge ni PM kwa ufafanuzi zaidi..
Ng'ada, ID yako kwa huku nilipo ina maana ya kitu ya ukweli kabisa au mtu akifupisha anasema kitu ng'ada. Swali kwako KY ni kitu ng'ada?
 
Labda ulimaanisha hv k¤ma yako!! Samahan tafsida sizifahamu vzur!
 
Back
Top Bottom