Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 244
Kuna kituko kimetokea cha kimataifa, Ndege ya KLM ilikuwa inaambaa ambaa kuutafuta uwanja wa ndege wa JNIA, Dar. walifanya mawasilianao na operator wa dar wakaambiwa wanaweza kutua bila shida, mawasiliano yaliendelea badae umeme ukakatika na ilikuwa usiku Rubani akauliza vipi imekuaje? Operator akamjibu umeme uekatika, rubani akauliza sasa tulioko angani tutafanyaje? jamaa akamjibu kuwa hajui hata awasaidiaje akawambia wajaribu kuona namna watakavyofanya huko juu, rubani akazidi kuusogelea uwanja wa dar alipofika akaona kweli giza tupu so akaamua kwenda kutua Nairobi, ile anavuta kasi kwenda nairobi umeme ukarudi na jamaa akamwambia basi tua tu maana umeme umerudi rubani akageuza ndege ile anakaribia umeme tena ukakatika akaambiwa so ikabidi tena arudi kuelekea nairobi ile anaanza kutua JKIA, Nairobi akapigiwa simu tena umeme umerudiiiiiii.
Rubani akawa anatukana matusi ya nguoni
Rubani akawa anatukana matusi ya nguoni