msaada tafadhali!

msaada tafadhali!

Nish

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
730
Reaction score
114
nani alikuwa rais wa kwanza tanzania please majibu ya kweli ni muhimu kwangu
 
mbona hamjibu au na nyie hamjui
 
msaada jamani nimeulizwa nikajibu nyerere nikaambiwa nimekosea
 
hata ungekua umezaliwa ulaya jibu very simple tu..................BONGO UMEKUJA LINI NDUGU???
 
mwalimu julius kambarage nyerere................labda ww wataka kwakirefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom