Lol...Huyu Jamaa Ana Hasira Kweli...

Lol...Huyu Jamaa Ana Hasira Kweli...

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Posts
21,602
Reaction score
6,097
gari%2Bkubwa.jpg


Nimecheka alivyomalizia na "Stupids"
 
Ujumbe murua sana huu kwa mabinti wanao wageuza watoto wa wanawake wenzao ATM
 
Kweli jamaa ana hasira
na inawezekana alitendewa hayo kufanywa ATM
 
Ukiwa na pesa unachukua demu yoyote unayemta..saka pesa ung'oe viwango.
 
TF, hiyo 'stupids' ndo wingi wa stupid moja.
Umuambie na NN manake kidhungu kinamchenga.
 
Ukiwa na pesa unachukua demu yoyote unayemta..saka pesa ung'oe viwango.


Wewe jamaa si umeanzisha uzi unaokandia wabongo kwa kupenda ngono?

Imekuaje tena unakula matapishi yako?
 
Wewe jamaa si umeanzisha uzi unaokandia wabongo kwa kupenda ngono?

Imekuaje tena unakula matapishi yako?

nzi nawe ushafika uku!!?mi napenda ngono kiasi tu.
 
Malimwengu. Mwanaume mshiko ati, sasa uje na suruali yako tu afu useme unataka ndoa?
 
hii ndo zile kauli ambazo hazina maana kabisa

huwezi maary a bank
ila watu wanaoa bank owners kwa sababu ya pesa.....
 
he he he he 'STUPIDS'
nampenda sana hili neno.
 
Back
Top Bottom