Samahani kwa kutokuonekana hapa kwa muda laptop yangu imegoma kufanya kazi nawashukuru wote 32 mlionitumia PM asanteni kwa kunipenda nami nawapenda pia,nawatakia wiki njema.
Ujumbe huu ungewatumia kwa Pm ingenoga zaidi, hapa ungeshusha topic mbadala.Samahani kwa kutokuonekana hapa kwa muda laptop yangu imegoma kufanya kazi nawashukuru wote 32 mlionitumia PM asanteni kwa kunipenda nami nawapenda pia,nawatakia wiki njema.
Nani kaitengeza?
unataka kumlipa??
Ujumbe huu ungewatumia kwa Pm ingenoga zaidi, hapa ungeshusha topic mbadala.
Unagunini celebrity wetu ?Hhhmmmm
U2happy new year Uporoto01
PM zote hizi kwenye cafe si alfu itaisha?Ujumbe huu ungewatumia kwa Pm ingenoga zaidi, hapa ungeshusha topic mbadala.
Nadunduliza si unajua hata kahawa chungu za mtaani zimepanda kutoka 50 mpaka 100 ?mkuu ulikosa hata kijisimu cha mchina?
Punguza hasira mrembo.wewe msemaji wake au?
Kloro kakimbia na mchango wa wasamaria.Welcome back,
ila ungeingia hata
internet cafe bhanaa
sa ikiibiwa si ndo utapotea mazma
mpaka ununue ingine?
Unaweza ukatuma PM moja kwa multiple members. . pale unapoandika jina la mtumiwaji unafanya kutenganisha majina kwa comma kisha unatuma.PM zote hizi kwenye cafe si alfu itaisha?
Kama ni kweli anachokisema hajui namna ya kutuma multiple Email, txt msg na JF private message, basi kuna ulazima wa vijana kutokimbilia kupost vitu humu badala yake siku moja moja wawe wanazitumia kwa know how ya computer knowledge. inaonekana humu option nyingi watu wanaziona kama mapambo wakati kila button ina kazi yake, ndio maana huwa sishangai issue ya kuMp Invisible utashangaa inaanzishiwa thread!!Unaweza ukatuma PM moja kwa multiple members. . pale unapoandika jina la mtumiwaji unafanya kutenganisha majina kwa comma kisha unatuma.