KEKI Ya Valentine- Special Offer Kwa JF Members Only,40,000/= Mpaka Sherii Alipo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Hii ni kwa wana jf member tu
tunawakaribisha wakati huu wa kuelekea valentine day kutoa booking yako ya keki nzuri utakayoipenda
mwenyewe tunaifikisha mpka mwenzio alipo kwa 40,000 tu...hii ni kutokana na ombi la member wenu
kim pdidy
sasa kwa wale wenye kutumika piga 0713 340 472
 
Umenitamanisha keki
kuna sehemu karibu na namanga huwa wanatengeneza nzuri
 
Mi sikujua Valentine day nayo keki inahusu.

Ninunulie basi ili nipate nguvu ya ile kazi.
Usijali utapata na unaweza ukawa Valentine wangu, bila kusahau ile kazi yetu uendelee nayo. sidhani kama Valentine wako lazima awe Romantic friend.
Something wrong katika uwelewa wa wabongo.
 
Usijali utapata na unaweza ukawa Valentine wangu, bila kusahau ile kazi yetu uendelee nayo. sidhani kama Valentine wako lazima awe Romantic friend.
Something wrong katika uwelewa wa wabongo.
Ile kazi ni top priority so worry not.

Ohh wala sio lazima, ila usisahau tu kuniomba/uliza mapema.
 
Ile kazi ni top priority so worry not.

Ohh wala sio lazima, ila usisahau tu kuniomba/uliza mapema.
Consider this has official request,.......
Pls confirm nianze kutupia vijisenti kwenye kibubu changu mpaka kufikia 14 feb itakuwa si haba.
 
Consider this has official request,.......
Pls confirm nianze kutupia vijisenti kwenye kibubu changu mpaka kufikia 14 feb itakuwa si haba.

I'd love to!!
Na mimi ntadunduliza kidogo ili mambo yawe mazuri.
 
Pdiddy, unatuhakikishiaje usalama wetu manake hukawii kupewa deliveries mbili, ukaanza kumsainisha small house afu next inaenda kwa big house. Mambo ya mesenja kaleta balaa, customer confidentiality ushaifikiria baba?
 
Mbona tayari?
Au mpaka niandike barua rasmi? Lolz

Haya. . . NTAKUA!!!
Wouuuw!
valentines-flowers-bouquet.jpg
valentines%20day%20roses.jpg
 
Back
Top Bottom