Chadema wamnunua pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wamnunua pinda

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by tindikalikali, Jan 29, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  CHADEMA watu wabaya sana..wamemshinikiza pinda awatishe madaktari na kupiga marufuku mikutano yao ktk ukumbi ambao walikuwa wameshaulipia
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,763
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Du chadema wameingia tena.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaa chadema kila kitu wanasukumiwa wao mweee
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  aaaaaaah aaaaaaaaah alafu network inanizingua hapa...lazima watakua CHADEMA hawa
   
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kila ki2 kina dema, kisa chadema..huu mchama noma.
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  umeona eeh
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Na taarifa za kiintelijensia zinasema chadema ndio walisababisha mafuriko yaliyotokea Dar mwishoni mwa mwaka jana!
   
 8. S

  Shega H Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema hiyo hiyo imemshawishi rais apige picha na Cameroon! mhhh.bora mimi ccj
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  LOL!!! kwi kwi kwikwiwkwwwwiiii
   
 10. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Chadema wabaya sana wamesababisha mtoto wangu kakataa kuoga jana jioni.
   
 11. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Chadema wamesababisha posho za wabunge zipandishwe
   
 12. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Chadema walisababisha man utd afungwe na liva.
   
 13. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Dah chadema wabaya nyie! Yani nimesaini coursework za ajabu na pepa zimekuja zimekunjwa dah chadema noma! Nkipata sapu ni chadema!
   
 14. m

  majimbi Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema noma eeeh kweli yahni nilikuwa na nondo yangu nlikua napiga chabo kwenye test ya maths jana chuo teacher kaifumania ghafla dduuu nililowa jasho mwili mzima hawa chadema wamesababisha wabaya sana!!!!!!!
   
 15. C

  Campana JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mke wangu aligoma kulala na mimi jana - alisusa chumba cha wanandoa, akidai 'hakuna kulala mpaka kieleweke'. Lo Chadema hawa!
   
 16. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yaani hawa CDM,Wamesababishia Presida wetu atoe ahadi ya uongo ya kujenga mahakama ya Africa,Wakati pesa hakuna!
   
 17. m

  majimbi Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmeonaaa eeeh chadema bwana noma!
   
 18. Chibidu

  Chibidu JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Na nimesikia sasa hivi (kutoka reliable person ndani ya chama) kuwa chadema wanaandaa mgomo wa wenye maduka ya madawa wafunge maduka. Eti kwa nini madaktari hawaendi kazini kuwaaandikia wagonjwa waende kununua dawa kwenye maduka yao (FAMASI)...lol
   
 19. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hahahahahaaa! CDM wabaya ile mbaya!!
   
 20. R

  Roben Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kuwa mbunge wao alisema ni "ujira wa mwiha".
   
Loading...