baada ya jana kutuonesha kweli umepinda na ukatumia vitisho kuturudisha kazini nimeona nikuelezee ratiba yangu ya leo.
Nimeamka saa tatu kasorobo asubuhi nikakaa kwenye computer kuprint cv.by saa...
Kuna Toto lilikosa adabu,baada ya kupata utajiri lilimfuata baba yake na kumwambia,"Baba niambie vyote ulivyotumia kwa ajili yangu ili nikulipe na usinifuate tena." baba akajibu, "wala sihitaji...
Jamaa mmoja nilimukuta kasimama na my sister, wakati napita jamaa nikamsikia anamwambia dada "ako kajamaa kanalinga kisa kanachukua demu wa geti kali" wakati yeye kasimama na dada yangu. Nimufanye...
Uongozi wa Chuo Kikuu cha RUCO cha Mjini Iringa kimepiga marufuku wanafunzi wake wa kike kuvaa suruali na Sketi za kubana, badala yake wanafunzi wa kike wametakiwa kuvaa magauni marefu au Sketi...
Raha ya dunia ni mambo matatu, ya kwanza ni afya, ya pili ni mali ya tatu ya kupendwa.Jamani nina raha mwenzenu mpaka nimeshindwa kunyamaza.Kupendwa raha jamani lol najihisi niko peponi.
Kuna mtoto alipandishwa basi la kwenda mbeya na mama yake na kufungishiwa maandazi kwenye mfuko,gari likaondoka na dogo alikuwa amelala baadaye akashtuka akauliza"konda tumefika wapi?"konda...
..nimeipenda hii idea katika tangazo la AIRTEL kwenye bango barabarani maeneo ya MOROCCO...wachezaji timu ya manchester united, wameshikilia nyeti zao
alafu juu yake ikaandikwa "all essential...
Kuna jamaa wawili walichelewa kurudi makwao, sasa ilipofika usiku mkubwa, ikabidi wakubaliane kuondoka usiku huohuo kwa kupitia njia ya mkato ya maeneo ya makaburini, Walipofika maeneo ya makaburi...
Teacher: which crops do we import in Europe and brings income?
1st Boy: Coffee
Teacher: Good! then how many types of coffee do we have in Africa?
The same boy: two types
Teacher: very good and...
I know I can be a snob sometime. But thats who I am. I commented today what could have been bad but not wrong.
Nisamehe saaaana LiZzy, Smile, AshaDee and all Ladies in JF. Lizzy my sister...
Habari zenu wanaJF!?....Mimi ni memba mpya nimejiunga ivi karibuni baada ya kuifuatilia JF kwa muda mrefu na kuvutiwa nayo sana...kwaio,tupo pamoja ndugu zangu,naamini tutapeana ushirikiano wa...
wakuu jana nilinunua Drostdy Hof Grand Cru wine ya Litre TAno!
leo toka asubuhi baada ya breakfast nikaanza kuinyonya..dah!
mpaka sasa niko ziiib! nina rahaje!!! Jumapili hii!!!!!
Kwa wale ambao maisha yao ya utoto hayakutofautiana na yangu watapata picha halisi.
Nilizaliwa kwenye familia yenye kipato cha chini na kula kuku mpaka xmax.Na kuku akipikwa utamsikia mama 'hilo...
Nlikuwa na mpenz wang ambae nmedm nae kwa miaka mng,wakat namalza kdato cha 6,na yeye ndo alikuwa anamalza chuo cha ualm,kzazaa kmetokea mara baada ya yeye kpangiwa mkoa jiran na kwetu,na kjj...
A sexpest's lust has been permanently tamed after his whopper was chopped by a man who nabbed him bonking his wife.
Reliable sources identified the victim as Joseph Edongot, a 34-year-old...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.