Hello Wanajamii.................
Nilikuwa kimya kidogo nikifanya utafiti kuhusiana na hili gonjwa hatari la ukimwi. Nimegundua kuwa kuna aina mbili za HIV/AIDs namely ANALOGY and DIGITAL.
1. ANALOGY= mwathirika anateseka sana ....ni ule wa zamani unaoambatana na madonda na kukonda.
2. ANALOGY=mwathirika huwa na afya njema mda wote na hufa akiwa gafla na afya yake.
Kwa dunia ya sasa uliopo kwa wingi ni ule wa DIGITAL.....................................
Naomba mawazo yenu kabla sija-publish utafiti wangu.