jf id pamoja na jinsia!!

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
jamani ee kuna threads nyingine nashindwa kuchangia kutokana kutokutambua jinsia zao

mfano;
kongosho huyu nimeambiwa ni genderles mimi niko puzzled na pia
kabakana. Uyu sina detail hata chembe kuhusu jinsia yake.
 
mwingine tena anajiita Inzi aje aniambie gender yake
 
kabakabana mchumba wa figganigga. ukipigwa picha usije sema ulikuwa hujui.
 
itakuwa rahisi zaidi kuchangia topic.
kuliko kukaa hapo na kuanza kuwaza jinsia ya mtu..
:hat:
 
Wewe!
Za masiku?
Nlkukosa sana lol, mwambie Doto nmesema usiku mwema kwake.

safi tu ..
Pole kwa kunikosa nimerudi sasa lolz..
Doto kasha koroma hapa. teh teh teh teh ..
Haya na wewe lala samala. Vizuri kukuona tena..
Sweet dreams..
 
safi tu ..
Pole kwa kunikosa nimerudi sasa lolz..
Doto kasha koroma hapa. teh teh teh teh ..
Haya na wewe lala samala. Vizuri kukuona tena..
Sweet dreams..

uh umerudi mida ya watu kutoka, ngoja nimuwahi huyo mkoromaji ndotoni lol
Poa, imekaa poa!
Thanks.
Usiku mwema kwako.
 
uh umerudi mida ya watu kutoka, ngoja nimuwahi huyo mkoromaji ndotoni lol
Poa, imekaa poa!
Thanks.
Usiku mwema kwako.

hahahahah
si unajua tena jua likisha tokeza ni mikasa tu..
na jua likizama ndo JF hahahah ..
Haya bana usiku mwemaa.. Mkoromaji anakusubiri .. :poa
 
jamani ee kuna threads nyingine nashindwa kuchangia kutokana kutokutambua jinsia zao

mfano;
kongosho huyu nimeambiwa ni genderles mimi niko puzzled na pia
kabakana. Uyu sina detail hata chembe kuhusu jinsia yake.

The punishment of God uko wapi jamani? "X-Paster" Njoo huku unahitajika
 
Back
Top Bottom