JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa mmoja alikuwa na kawaida ya kufanyiana mizaha na mkewe hasa mmoja wao anaporudi na kukuta mwenzie hana habari kama karudi. Mizaha hii siku moja ilimkasirisha mama mkwe baada ya jamaa kurudi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeamua kufunguka na kuweka hisia zangu wazi kwa huyu binti Sweetlady, sio siri moyo wangu unamiss sana. Popote pale ulipo sweetlady naomba naomba useme neno angalau moja roho yangu iweze kupona...
1 Reactions
315 Replies
17K Views
Ni wimbo huu. Jamaa anaitwa Omari Dimples akishirikiana na Ali KIBA. Video yake ni nzuri sana, ina pozi tofauti miksa costume za humo sio zile za ki-Cabo Snoop, something I like, pia Kiba na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mchaga m1 anamiliki magari ya abiria,cku moja gari yake moja ilipata ajari akapigiwa cm,alisikitika sana na akauiza"abiria wote walilipa nauli"?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajf,nawapenda sana. Mmekuwa zaidi ya ndugu kwangu!Hata nikiwa na hasira na stress nikiingia humu najisikia faraja sana Kuwepo nanyi nimepata mafundisho na changamoto nyingi. Nawashukuruni...
3 Reactions
160 Replies
9K Views
wadau leo nimekumbuka mbali sana, nimekumbuka sekondari ya Tambaza ya kipindi hiko ikiwa na O-level, jinsi ilivyosumbua sana hapa Dsm kwa vurugu..je unakumbuka madent wakorofi waliosumbua shuleni hapo
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana JF ningependa sana tujikumbushe mambo yaliyokuwa yanajiri katika kambi za jeshi. Wale waliopitia jeshini, wanajeshi na wanaofahamu vituko vya jeshi watuambie. Siku moja afande aliwakuta...
1 Reactions
35 Replies
9K Views
And thats it! Kuanzia leo thread zangu zote nitakuwa napost humu, kama wanaona zinafit kwingine watazihamisha, maana jukwaa ninalopenda kupost washaona dili kufunga thread zangu. I've made my...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Town bwana watu hawalali,mida imeisha kesho kazi ila watu ndio kwanza wanamiminika viwanja..huu mji bwana.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
mwenzenu madoctor nawaheshimu sana. Ukisikia mtu kachomwa sindano hadi akapalalaizi mguu muhimbili mjue atakuwa ni Paw. mimi nlishamuonya hataki kunisikia. shaurile.
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Kawaida kila mtu anaasili yake ebu kila mmoja ataje pombe za asili ya kwao.... mi ninaanza kama ifutavyo 1. Ngedule 2. kangala 3. Choya 4.Dadii 5.Mbege 6.kimpumu 7.Komoni 8.Ulanzi...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nabebwa wakati wa kwenda kuoga, maji ya kuoga yana hiriki, nabebwa baada ya kurudi kuoga, napakwa mafuta nikwa nimelela kitandani baada ya kuoga, napewa kila ninachota na sijawahi kutukanwa...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Wadau niaje? Poleni sana kwa masikitiko aliyotuletea mwanahasha binti jk, naona wadau wameguswa sana na matokeo ya madogo kwamba hawasomi, hebu tuseme ukweli wa mungu wana jamvi kila mtu enzi zake...
0 Reactions
249 Replies
18K Views
Nawatafuta jamaa zangu waliosoma Songea boys sec.sch miaka ya 1988-91 na wengine ambao ni Box2 family ili tukumbushane ya kale.PIA wale wote wa Highlands high sch.1992/93,JITEGEMEE HIGH...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikia kumbe YANGA AFRICA waliuza mechi ya juzi?so that's why akina mwape walikosa magori kibao ya wazi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ndugu wana jf, kweli humu ndani wanafki wengi..!!watu munadisi fb na kueleza kwamba hamuna akaunti za fb kumbe unafiki mtupu!! Memba kibao walikuwa fb kwa mfano...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Sio mbaya nikitoa ilmu kidogo. Watu huwa wanashindwa kutofautisha matusi na maneno ambayo kwa kizungu huiwa 'taboo words', sifahamu Kiswahili chake. Kwa kizungu, matusi huweza kufasiriwa kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwa mlioangalia local TV zetu za bongo leo, Rais Jakaya Kikwete na Dr. Wilbrod Slaa wameonekana waki walk, hand in hand, bega kwa bega na kuwa karibu kwa wakati wote with genuine smiles...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Pichu day Leo ni siku ya UVAAJI CHUPI DUNIANI. Watu wote wanasherekea kwa kutaja rangi ya CHUPI aliyovaa leo. Je yako ina rangi gani? Ukikaa kimya maana yake leo hujavaa. Usipojibu maana yake...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi weekend hii ntakuwa na ratiba kubwa ambayo haijawahi kutokea ktk maisha yangu kwani nimepeana promise na mrembö mmoja ambaye nimempenda sana yani nipo tayari kuwa naye maishani mwote, sasa...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom