Mnaikumbuka shule ya Tambaza ya wakati huo??

Madodi

Senior Member
Apr 10, 2011
176
58
wadau leo nimekumbuka mbali sana, nimekumbuka sekondari ya Tambaza ya kipindi hiko ikiwa na O-level, jinsi ilivyosumbua sana hapa Dsm kwa vurugu..je unakumbuka madent wakorofi waliosumbua shuleni hapo
 
Ngoja na mie nianzishe kwa tulosoma Bulyang'ondi school of reality.
 
Naikumbuka Tambaza ilikua nomaaaaaa ilifutwa olevel nafikiri 94 au 95 flani hv,ni nomaaaa kuna mambo ya kupiga simu kwenye tundu la choo!
 
msimsahau na marijan shaban (RIP),alitunga....umeondoka jojina...akiwa tambaza.
 
Walikuja pugu sec wakachapwa na kumwagiwa ***** ikawa sehemu ya fundisho lao.
 
zamani inaelekea mtu akiwa hana uhakika wa kukamata dem mzuri anajitia msela!!!!btw respect kwa wana tambaza wa kitambo hususani yule mtemi wenu aliyejiua!somebody PUZZA nasikia jamaa alikuwa anacheza mpira na bikari mkononi!ukimpita mara kwa mara unachezea bikari ya mgongo......
 
Sikusoma wakati huo lakini nashukuru kuwa nilipata kusoma pale.Tazama Mbali Zaidi
 
Kama sikosei puza ndio alijiua kipindi fulani na dawa ya panya na alikuwa na mademu wazuri ile mbayaa wa zanaki ,hakuna demu wa kumkataa
 
acha masihara
masikhara?
Marijan Rajab (RIP) amezaliwa na kukulia mtaa wa swahili kariakoo,praimari olimpio kabla ya kufaulu kwenda tambaza.Alianza kuimbia bendi inaitwa sparks enzi hizo ikipiga splendid,baadae akaimbia STC band.At a tender age of 16 akiwa form two tambaza yeye na wenzie walianzisha safari trippers circa 1971.The guy was a genius.
 
Back
Top Bottom