Here is where I belong...

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
And thats it!
Kuanzia leo thread zangu zote nitakuwa napost humu, kama wanaona zinafit kwingine watazihamisha, maana jukwaa ninalopenda kupost washaona dili kufunga thread zangu.
I've made my decision, UNTILL FURTHER NOTICE.
Sawasawa?
 
Yani wewe huishi malalamiko,kila siku unaonewa wewe tu?

malalamiko ni sehemu ya kupunguza msongo, for your info.
Siezi kukaa kimya eti kwa vile naogopa nyie mtanionaje, mbona huonekani ku-acredit pale ninapopost cha maana?
Au unaweza kuweka mabandiko yangu yote hapa halafu tuchunguze ya malalamiko ni asilimia ngapi?
Be sure of yourself next time.

am sure of myself at all times,the problem is u are nat.
 
another Balotelli??

ohaa?
Usinifananishe na yule kiazi, mimi malalamiko yangu ni ya msingi na yanasukumwa na hoja, sijawahi kuambia mod yeyote ana uume mdogo kama alivyofanya SuperMario...
Nitake radhi mkuu.
 
Back
Top Bottom