Nipeni uzoefu wenu wanawake wote wa kidigo ndivyo walivyo au wangu ni wa pekee?

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Nabebwa wakati wa kwenda kuoga, maji ya kuoga yana hiriki, nabebwa baada ya kurudi kuoga, napakwa mafuta nikwa nimelela kitandani baada ya kuoga, napewa kila ninachota na sijawahi kutukanwa, navalishwa na kulishwa yaani nina raha mimi. Natamani nisiende kazini nishinde ndani. Nikiwa kazini nawaza huduma zake tu. Mungu anipe nini mie jamani?
 
Shauri yako unachunwa bila kujijuwa. Chukuwa tahadhari na uwe makini.
 
c useme tu na we unampaga sh ngapi kila anapokubeb.!!! Cpat pcha uyo mwanamke alvyojazia, mpka anakubeba ww na limwil lote hlo
 
mijitu kama wewe ndo rahisi kupewa SUMU, yaani hadi chakula unalishwa.
aseje akawa anakufananisha na toto jinga, likila lamwaga chakula ndo maana anakulisha.
take care.
 
siku ambayo utamuuliza jina la mzazi wake ni pale utakaposahau kwenda kazini, alafu barua ya kuachishwa kazi ikakufuata huko huko.
 
Huduma hizo anapewa mtoto mdogo. hata ww kubwa zima unajivunia ish! sio mzima sawasawa
 
...mmmh! Walemavu wa viungo hufanyanyiwa baadhi ya hivyo unavyofanyiwa. Hongera sana kwa kuwa mzembe kiasi hicho.
 
Yani kubwa zima unaona raha kubebwa mgongon,ebu lione,hata huon aibu ku2simulia?
 
kubwa zima linapanda basi halijui linaelekea wapi. Hujui kama hili ni jukwaa la utani? unashiriki bila ya kujua unashiriki nini? wakupime siyo bure wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom