JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naangalia mazishi ya Whitney Huston..kuna mmoja wa bodyguard wake kapewa nafasi ya kuongea msibani.Hivi sisi waswahili huwa tunawapa watu kama hawa nafasi ya kuzungumza msiba unapotokea.Kwa mfano...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
:focus: Katika mazingira yanayoashiria fikra za maisha, wakati mwingine ni kishekesho na uhalisia.Wengi wa wadada wa Tz wamejipanga katika maisha ya kuchuna.sisemi wewe unayesoma thred .Msamiati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dereve mmoja kwa jina MIKE alikuwa anampeleka boss wake Airport. Njiani Boss alikumbuka kuwa amesahau document muhimu sana hivyo alimwamrisha Mike amrejeshe haraka nyumbani aifuate hiyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1) Did you know 11% of people are lefthanded 2) Did you know August has the highestpercentage of births 3) Did you know unless food is mixedwith saliva you can't taste it 4) Did you...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Vip
Kuna mwanachama anajiita 'Halisi' na nimeona yeye ana hadhi ya 'VIP'. Ni wangapi wenye hii hadhi na inapatikanaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
viroba noma kuna mtu kalala chini ya geti langu hapa Nyumbani kwangu najua hivi viroba tu au gongo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
msinitanie na sio mzaha kaka yangu kamfumania mkewe wake kapigwa picha analiwa denda na mume wa mtu amekuja kwangu kupata ushauri na mimi tupo sawa kiumri nitamsadiaje
0 Reactions
47 Replies
3K Views
mimi na lala lakini kaka yangu kafumaniwa live ana kiss na mume wamtu naomba ushauri wenu na picha anazo kama ushahidi na hata usiku akilala anamtaja jila lake zaid ya mara tatu
0 Reactions
24 Replies
2K Views
jf kwa vituko, baada ya Masaburi kuvuma vilivyo, sasa wameanza kumhusisha Mwanaasha K na ukilaza....aaah ebu toa umwanaasha wako hapa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Bibi kizee kaenda kwa daktari wa moyo,mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo. Daktari:bibi vipimo vinaonesha moyo wako ni mkubwa kweli halafu una tundu katikati Bibi:we mtoto we usije ukawa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
A first-grade teacher, Ms. Brooks, was having trouble with one of her students. The teacher asked, "Harry, what's your problem?" Harry answered, "I'm too smart for the 1st grade. My sister is in...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Najua mko bizy leo mki nurse hangi ya valentine, me nipo kwenye matanga hapa kwa whitney Houston, watu wanalia sana, tupo na akina 50cents, Akon, Lil wayne, Bow wow barazani, namuona Jay Z huyo...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
______i don't have brains.> {Fill in the blank by 'YES' or 'NO'}.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekuwa nawaza sana mpaka kuna wakati naogopa, hivi ingekuwaje kama ningekuwa mwanamke? Kila nikipita napigiwa miluzi na ksiiiiiii............. Kila mwezi nakuwa na wasiwasi wa lini itatokea...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Palitokea mkutano wa madaktari bingwa kutoka nchi 3, UCHINA, UJERUMANI na TANZANIA wakawa wanajadili mafanikio yaliyofikiwa katika nchi zao. MCHINA akaanza...,kwetu alizaliwa mtoto hana mkono...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nilikuwa napitia vijitabu fulani vikanikumbusha enzi za shule ya msingi kwenye somo letu la kiswahili, nimetokea kuvutiwa na ile topic ya unyambuzi wa maneno. Nakumbuka mwalimu wetu enzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
pm zimekuwa nyingi sana na sijui yupi anahela zaukweli au mbabaishaji
0 Reactions
51 Replies
3K Views
Kule kwa wazenji kwenye blog moja (jina kapuni) nimekutana na post ya jamaa mmoja ambaye anasema ameamua kuachana na JF kwa kile alichoona ina 'post zenye maudhi'. Msome hapa chini: kassem...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Mimi nilikua nikimchokoza mtu, akikasirika namwambia ivi 'ukinipiga unanionea, ukiniacha unaniogopa' misemo gani uliitumia ulipokua mtoto ambayo ukiikumbuka unafurahi. Weekend njema wadau
0 Reactions
3 Replies
991 Views
Kutoka upigaji wa Nondo na kupeleka damu kwenye ma bucha ili wapate wateja wengi, Sasa hv wemeanza mtindo mpya, wanatupa noti ya elfu Kumi, ukiokota tu unageuka ng'ombe na moja kwa moja...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom