Kina mama mkwe vijana nao taabu kwelikweli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina mama mkwe vijana nao taabu kwelikweli!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Midavudavu, Feb 20, 2012.

 1. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamaa mmoja alikuwa na kawaida ya kufanyiana mizaha na mkewe hasa mmoja wao anaporudi na kukuta mwenzie hana habari kama karudi. Mizaha hii siku moja ilimkasirisha mama mkwe baada ya jamaa kurudi nyumbani akapita mlango wa uani na kumkumbatia kwa nyuma akizani kuwa ni mkewe na kumbusu kisogoni na mwaa nyingi. Mama mkwe kwa kuwa hakutemea hilo alipiga kelele ; "awii nafaa jamani, nabakwa'" Bintiye ikabidi akimbilie jikoni kuona kunani labda mama yake kanaswa na umeme. Alishangaa kumkuta mumewe jikoni huku kijasho kikimtoka na aibu juu. Mke akajua kilichotokea kwamba mizaha yake mumewe siku hiyo ilikuwa imemtokea puani; tatizo jinsi ya kumwambia mama yake ili hilo alielewe kuwa huo ni mzaha ikawa kazi; maana hata mwanaume kuingia jikoni tu ni kosa kwa mujibu wa malezi aliyopewa mama mkwe. Jamaa ikabidi apigwe faini ya kimila kwa kuingia jikoni bila ya ridha; maana ati jikoni ni eneo la kujimwaga mwanaume hawezi kuingia bila ya kupiga hodi.
   
 2. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mbona sioni kichekesho hapa? Ila tunakushukuru umetufundisha kitu.
   
 3. F

  Fredyse New Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh hiyo balaaaa
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Loading...30%
  Ongeza bidii
   
Loading...