Watu hawalali..!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu hawalali..!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by matumbo, Feb 20, 2012.

 1. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Town bwana watu hawalali,mida imeisha kesho kazi ila watu ndio kwanza wanamiminika viwanja..huu mji bwana.
   
 2. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Alaa..viwanjaaa... Mi nilidhani wanawanga...

  Au hao labda kazi zao za shift ya mchana kesho,au ya usiku...
  Au ni wajasiriamali,hivyo wanajiamulia muda wa kuamka..

  Wengine kuwepo huko ndiyo job description yao...
   
 3. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  wewe una lala una hela?
   
 4. S

  Skype JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Umesomeka mkuu, naona wewe umelala na sasa unaota kama uko jf au sio?
   
 5. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kuna movie moja nakumbuka dubu alikuwa na mtoto wake wazungu wakaja wakampora wakaenda nae mjini kumfanyia maonyesho,yule mama dubu alilia sana..basi bwana kuna demu mmoja wa kizungu alimuhurumia sana,akaanza kufait mpaka akamrudisha porini..mwisho mwisho kuna babu moja lina mshut akafa,nililia sana inasikitisha sana..ila munyaz mungu atamlipia tu.
   
 6. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  wengine walinzi mkuu,mhindi anamaind akikuta umelala.
   
 7. S

  Skype JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Nimevutika sana na hii movie naomba uniazime kama unayo.
   
 8. S

  Skype JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Sawa kabisa mkuu hujakosea.
   
 9. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  niliichek kwenye tv station nakumbuka ilikuwa moviemagic ya enzi izo..ila ntakutaftia alafu ntakuwekea link kesho nikiwa mzigoni.
   
 10. S

  Skype JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Nitashukuru sana mkuu
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Bora hata Dar na Kampala utapata watu hawajalala, na ukitaka huduma za kawaida (kama vl shops, hotels e.t c utakuta watoa huduma wamelala! huduma hakuna)
  But maneno Narobi (Nairobi) 24 hrs pipo ziko road, na full huduma unapata!
  Nakumbuka kuna siku mie na mwenyeji wangu, tulikwenda kununua Nyama , Nyanya, Vitunguu na Mchele saa 9 usiku.
  Dar kwa muda huo ungeishia kupata Viazi tu.
   
 12. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ikiwa umewaona, wewe ulikuwa kwenye ndoto. We mwenyewe hulali kwa kuikimbiza shilingi.
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  walinzi utawajua tu.....
   
 14. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tulale..? Tulale tutakula kwa baba mwanaasha???
   
Loading...