FB ndio nn?
Komenti zao zilitosha kujua majina yao ya ofisini au kijiweni kwetu jf.
Na wewe je, sio member?
Tehe tehe tehe! Mr. na ulimbwende??.. Mke mwenza wewe bana! Unaringa vile mumeo ni PAW...Hivi ilikuwaje ukawa Mr Mzumbe? Ulishiriki mashindano ya ulimbwende?
Eti facebook!
FundiBabu