Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,848
6,176
Wadau niaje? Poleni sana kwa masikitiko aliyotuletea mwanahasha binti jk, naona wadau wameguswa sana na matokeo ya madogo kwamba hawasomi, hebu tuseme ukweli wa mungu wana jamvi kila mtu enzi zake alipata vipi? Angalizo useme ukweli wako as hakuna kuchekana wala kupongezana humu tumeshazeeka tunachoangalia ni real life,

Tukianza na mkata kiu enzi zangu niliambulia div 2 pts 19 pale feza boys mwaka 2004
 
III ya mwisho nyumban walfurah na kuniwekea sherehe! Walionitangulia woote walkua na zero! Mmoja tu alikua na IV ndio alikua kipanga wa familia had nilpomfunika!
 
duh, hivi naweza kuwa nachat na vijukuu vyangu.

Mie nilichaguliwa middle school, mzazi wangu alichinja mbuzi. Baada ya kumaliza la 8 nikapangiwa kwenda ualimu.

Hatukuwa na div rank ya la 8.
 
Div 1.17 st marys visiga seminary 2006

A' level
div 1.9 maua seminary
 
Niliweka cha 1 point 15 Singe 2007!



Meku kumbe ulisomea pale kwa Babu Gadie na Pangea???
Basi wewe ulikuwa hutoroki kwenda Gendi mnadani kula nyama wala kambarage kula mandazi eeh
 
4M4 dvs 1 pts 17 MANOW LUTHERAN JUNIOR SEMINARY 4M6 dvs 1 pts 9 KANTALAMBA SEC SCHOOL!Npo udom napgana hadi kufa!
 
duh, hivi naweza kuwa nachat na vijukuu vyangu.

Mie nilichaguliwa middle school, mzazi wangu alichinja mbuzi. Baada ya kumaliza la 8 nikapangiwa kwenda ualimu.

Hatukuwa na div rank ya la 8.

Wewe ndiyo mwenzangu ! Ngoma droo , kumbe tuna wajukuu wengi hivi ? Labda kidogo TANMO ndiyo kwa mbaaaaali anatukaribia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom