Vituko jeshini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko jeshini

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by HP1, Feb 15, 2012.

 1. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wana JF ningependa sana tujikumbushe mambo yaliyokuwa yanajiri katika kambi za jeshi. Wale waliopitia jeshini, wanajeshi na wanaofahamu vituko vya jeshi watuambie.

  Siku moja afande aliwakuta makuruta wakiwa wanapiga stori zao. Afande kwa hasira akawaonyesha kibao na kusema "Arooo hamjui kusoma? hapa pameandikwa NO SMOKING maana yake MSIPIGE KERERE.."
   
 2. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S embarassed:ha ha ha ha ha ha
   
 3. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  kuruta alikuwa anaumwa.Afanda wake akamtafuta kumjulia hali na kumwuliza, "We kuruta! Hali yako vipi?
  KURUTA:"Ninaimprove afande!"
  AFANDE:"Sarare! Unaimpluvu? Ugonjwa mgeni huo.Itabidi uende Muhimbiri!"
   
 4. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tehe tehe toh toh hahaaa
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kuruta akiwa mbali na msururu wa chakula alikutwa na afande ikawa kama hivi;

  Afande: Mbona umekaa pembeni wakti wenzio wako kwenye FORENI?

  Kuruta: Sina appetite afande

  Afande: Aaah mbona wenzako wanazo mbiri mbiri si waambie wakugawie?
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh.
   
 7. m

  mkazamjomba Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tulikuwa makutupora dom afande akauliza we mbona huendi kula akajibiwa sina appetite akasema arrooo aliyenazo mbili mumwazime mwenzenu
   
 8. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Au mtafuta rafiki yako mkomfuzi pamoja mle wote.
   
 9. m

  mkazamjomba Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jeshini ilikuwa sio aibu kusema ninaumwa niko period afande akajibu haya ambao mko period wavulana huku na nyie wasichana huku napenda sana walio period sio kuja kuwa wazembe alidhani afya ni ngangari
   
 10. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Afande mmoja wa kike sitamsahau kwa vituko vyake. Wakati wa kuchapa mguu alipenda kusema " Nyanyua mguu mwanaume hadi usawa wa k...........yangu" huku akionyesha kwa kidole.
   
 11. m

  mkazamjomba Member

  #11
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakumbuka tulikuwa na disko sasa kila msichana hataki kucheza na afande wakati huo tumechana afro na pekoz enzi hizo bwana kumbe iliwauma tulimaliza disko saa 7 kufika saa 8 tukatolewa nje tusiosuka twende kilioni wacha turushwe kichura kumbe hasira ya kukata kucheza nao
   
 12. kalukamise

  kalukamise JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Afande alitukuta tumekaa akatuambia kuruta kavaeni green vest za kijani...mkuu hapo ukicheka tu unao anaweza hata kulia eti umemtukana
   
 13. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Green vest ya kijani.....gentlemen mwajuma!!!
   
 14. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hahahahahahaaaaaaaaaa dah afande bana
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  ha ha ha aibu ziko uraian mangi.
   
 16. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hahahahahaha!

  Afandeeeeee hawa huku wanakucheka!
   
 17. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #17
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmevunja mbaya! Nakumbuka nikiwa xucl machal flan nikuwackia wakitafsiri hili neno
  "LAST WORNING" eti ni "KOSA LA MWISHO"
   
 18. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dah jeshini nakumbuka bia za bei rahisi tu.
   
 19. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Afande alimpa adhabu kuruta ya kusukuma ardhi (push ups). Akawa anaamrisha up down up down... Kuna muda kuruta alikuwa amechoka amelalia tumbo afande akaendelea kusema DOWN huku akionyesha kwa mkono kuwa anyanyuke juu jamaa aliendelea kulala uso ukiwa kwenye mchanga. Afande akamwita mwenzake kwa sauti akisema "...Aroooooo potiiiii hiri ri jamaa harierewi kiingereza.."
   
 20. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwiiikwikwikwi
   
Loading...