Taja hata moja tu!

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,053
653
Kawaida kila mtu anaasili yake ebu kila mmoja ataje pombe za asili ya kwao.... mi ninaanza kama ifutavyo
1. Ngedule
2. kangala
3. Choya
4.Dadii
5.Mbege
6.kimpumu
7.Komoni
8.Ulanzi
.......................................
Najua wengine mtasingizia kuwa hamzifahamu ila mkiwa wadogo wazazi wenu waliwapa ili mlale na kutosumbua hasa kwenye kilimo na shughuli nyingine....
je wewe unazijua zipi na ulishawahi kunywa?
 
umesema pombe za asil ya kwetu/kwao mbn umemix ngedure komon mbege ulanzi umetaja shm ka 3 au 4 hapa uchaga uhehe ngedure mby nazan we kwenu wap!
 
1. Mnazi
2. Gongo
mimi mzaramu pure kwa baba na mama yani kama sketi na blausi
 
Mchujo{Kimpumu}, Komoni, Sekenke{Ngano}, Wanzuki, Mpui wayne,Ulanzi,Ngumu kumeza.....{٠٠٠٠٠} Hapa ni Rukwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom