Sweetlady sema neno moja tu na roho yangu itapona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sweetlady sema neno moja tu na roho yangu itapona

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nitonye, Feb 18, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Nimeamua kufunguka na kuweka hisia zangu wazi kwa huyu binti Sweetlady, sio siri moyo wangu unamiss sana. Popote pale ulipo sweetlady naomba naomba useme neno angalau moja roho yangu iweze kupona na haya maumivu.
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Yale yale..
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  bila shaka huenda wewe bila kumung'unya maneno ni MWEHU!
   
 4. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Toka lini neno dawa kunywa panado utapona
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Haina mbaya mkuu
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Mnaoparamia wake za watu..... Mkijashikishwa ukuta mje muanzishe sredi mtueleze km mlifurahia au mliumizwa. Msijesema sijawaonya. SHAURI ZENU!
   
 7. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kivipi tena Yale najua ni jina la funguo
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Babu naona una hasira tangu uamue kuwa na binti mdogo kama wa kumzaa
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,711
  Trophy Points: 280

  Babu acha wivu kwa vijukuu. Nitonye kashindwa vumilia we unamwogopesha. SL yupo singo jimwage brada
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Huyu sweetlady si nishamtolea mahari nusu ya kuku wa broiler salasini na mbili? nilikuwa napapatua kuku wengine salasini na mbili nimalizie nivute mzigo.
  Kulaleki hapa mjini tunaibiana tu kumbe.
   
 11. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hiyo nadhani ulipeleka posa na posa inaweza kukubaliwa au kukataliwa sasa naona ya kwako ilikataliwa. Jaribu kutafuta mwingine
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  kwa nini mkuu? Siku hizi kupenda ni wehu? Mi nashauri mtoto wa mwenzetu tumwache afunguke,afterall who knows? Si unajua SL kaachana na rejao pua imemkera?
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Haina noma, kama kaamua kujitupa kwako mazima, mwambie zile kuku zangu azitransfer kwa husninyo, mashambulizi yanaelekezwa mpwapwa rasmi.
   
 14. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Nitajaribu kumwambia lakini ngoja tumsubri husninyo tuone kama atazikubali
   
 15. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Ama kweli!
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Swahiba nakutafuta.
   
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Mimi hunitafuti?
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Husninyo wenyewe mbona niko nae apa, anakusoma na kucheka au tukuwekee web cam ?
   
 19. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Swahiba mie mzima vp weye
   
 20. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ok mkuu Bishanga, ngojea tumpigie debe OYA SWEET LADY KUNA MLUGALUGA MMOJA ANAITWA NITONYE anasema useme japo neno moja, anakupenda sana.
   
Loading...