Siku unachat (kwa simu ya mkononi) na watu zaidi ya wawili kwa wakati mmoja, then ukajisahau na kureply correct sms to a wrong person. Mathalan unachat na GF/BF at the same time dada/kaka, then...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifanya tafiti mbali ili kubaini mambo mbali mbali ambayo yanayochangia mahusiano mengi ya kimapenzi kuvunjika. Nadhani wengi wetu tunatambua ya kuwa yapo mambo...
On hearing that her
elderly grandfather had
just passed away, Katie
went straight to her
grandparent's house to
visit her 95 year old
grandmother and comfort
her.
When she asked how her...
Birthday wishes to you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa heshima na taadhima napenda kukutakia heri ya kuzaliwa leo................
Mungu akupe maisha marefu akupe uhai uishi miaka zaidi ya hii unayotimiza...
jana nilikua Zero pub nacheki game ya Chelsea.
Baada ya game niaamua kupata Moja Mbili.
Mida ya saa nane. nikaanza safari ya kurudi home.
kufika nyumbani kumezuka ugomvi mkubwa sana. Eti...
Meya wa mji mdogo nje ya jiji la Napoli nchini Italy amepiga marufuku wakazi wa mji huo kufa mpaka makaburi mengine yatakapo idhinishwa baada ya makaburi yaliyokuwepo kujaa.
source: bbc.co.uk/news
chokoraa!! big up kwa kipande hiki!
"navumiliaa na navumiliaa lakin ipo siku nitachokaa, nafsi itakinaii,. moyo nitapiga konde!! manyanga "nitayabwaga!!!" x 2!! "bora niwe bahchela" x2!! eeh...
Nilipata kusikia kuwa aliekuwa Gavana wa BOT yu hai na alikuwa na shauku ya kuludi Tz na habari hiyo ilitamka kuwa ametoa cku za ujio wake,story hiyo iliishia wap..? Je kuna ukwel wowote ndan...
We si mjanja bwana kila demu unaemtongoza anakukubali
Hebu click link hio apo chini umtongoze asha ngedere halafu useme kakubali au kakataa
click hapa kumtongoza asha ngedere
Haya leo nimeamka na hang-over za kutoa single,nipata jina la single "nina kuzimia" kwani wasanii wengi wanatokea kwenye mapenzi sasa sijui nianzeje,hebu nisaidieni mistari waungwana.
Wanaume wote ambao huenda Bar kunywa na kulewa wana sifa moja kubwa.
Huwa wanawaona wahudumu wa Bar hawavutii kwa uzuri wakati wanapoingia, lakini muda mfupi wakishalewa huwa wanawaona wahudumu...
JF mnafanyaje pale unapohisi akili imechoka ,inahitaji mtu unayemwamini umwambie jambo linalokusibu..linalokuchosha
atakayekuwa tayari kukupa muda wa kukusikiliza ...kukuadvice and so and so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.