Huwa wanawaona kama malaika……….! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huwa wanawaona kama malaika……….!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtambuzi, Mar 15, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Wanaume wote ambao huenda Bar kunywa na kulewa wana sifa moja kubwa.

  Huwa wanawaona wahudumu wa Bar hawavutii kwa uzuri wakati wanapoingia, lakini muda mfupi wakishalewa huwa wanawaona wahudumu hao kama malaika kwa uzuri.

  Ulevi Noumaaa…………….
   
 2. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mhh hivi leo lini vilee?
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Leo Ijumaa Kabakabana, husomi Kalenda?
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hiyo kalenda ninayo sasa? Owkay basi ndo maana hizi mada zimeanza hehe
   
 5. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,968
  Likes Received: 3,002
  Trophy Points: 280
  Kaba hebu njoo huku mfaranyaki unashangaa wapi w.end hii
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,968
  Likes Received: 3,002
  Trophy Points: 280
  Pombe mwarobaini inatibu kila kitu
   
 7. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nimerudi dada yangu nimeleta dagaa wapi weewe?
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,171
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  mtambuzi huoni kuwa unahatarisha ruhusa zetu za kwenda sitting room, maana hawa mashemeji zako wakisoma humu watatufuata hadi simba kapakatwa BAR.
   
Loading...