Wapi Italy?Meya wa mji mdogo nje ya jiji la Napoli nchini Italy amepiga marufuku wakazi wa mji huo kufa mpaka makaburi mengine yatakapo idhinishwa baada ya makaburi yaliyokuwepo kujaa.
source: bbc.co.uk/news
Wenzetu wana nidhamu wakipewa agizo linafatwa sio sisi tunaokojoa kando ya barabara lol!Wapi Italy?
Atakua basha huyo!
Ni katika kukumbushia tatizo ili kikao cha madiwani kiidhinishe kiwanja kipya cha mazishi lol!nadhani hii si joke,ni amri iliyotolewa jana hapo Napoli Italia.Jamaa noma.Sijui kuna sheria na haki mtu kufa huko Italy!
Mnaenda kuzika miji ya jirani mpka sehemu ya kuzikia ipatikane.Endapo mtu akifa katika kipindi hiki,ataadhibiwa??