Unalalaje?

Unalalaje?

mitishamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
697
Reaction score
111
Kuna staili nyingi za kulala.
Sasa wewe unavolala unalalaje? Kifudifudi, chali, kiubavu (kulia au kushoto), unajikunja au unajikunyata?
 
Na tumbo kwakuwa chini kunakuwa na mtu....lol..
 
Ntakavopitiwa nausingizi ndo hvohvo, hatakama nimekaa ndo inakuwa ntoleee...
 
Kuna staili nyingi za kulala.
Sasa wewe unavolala unalalaje? Kifudifudi, chali, kiubavu (kulia au kushoto), unajikunja au unajikunyata?

Huwa nalalia mgongo halafu naweka mto kiunoni, then miguu naweka ukutani!
 
Mie nalala miguu chini kichwa juu
Akchwali nasimama kitandani
 
Nalala kichwa chini miguu juu!
mkuu pole kwa ban.
uankumbuka siku ile nilikwambia usibishane na rashian raulette atakupeleka korokoroni ukadai eti unazifahamu sheria za jf vizuri.
sasa unaona kilichokupata?
ungesikiliza ushauri wangu yasingekupa yaliyokupata. lakini hata mimi pia yalinikuta hayo, kisa nimebishana na RR
 
Back
Top Bottom