Nataka kutoa single...Nipeni mistari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kutoa single...Nipeni mistari!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Vodka, Mar 15, 2012.

 1. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Haya leo nimeamka na hang-over za kutoa single,nipata jina la single "nina kuzimia" kwani wasanii wengi wanatokea kwenye mapenzi sasa sijui nianzeje,hebu nisaidieni mistari waungwana.
   
 2. sister

  sister JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,936
  Trophy Points: 280
  ngoja waje waliowahi kufumaniwa wakupe mistari.
   
 3. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  una toa Tsh ngapi...nikupe
   
 4. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Mi nitakunyongea beat matata.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wewe sio mmoja wao??
   
 6. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yoyoyoo! Nakuzimia kushinda hata 100,
  moyon naumia lkn machon nafurahia!
  Karekodi sasa!
   
 7. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,107
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  ....nakuzimiaaa,kilaaa ni kikuangaliaaa,moyonii mi naumia,mamamiaaa nimeshindwa kuvumiliaa,napendaa unavyo niangaliaaa na macho yako ya kusiziaaa,unavyo tembeaa makalio unavyo tingishiaaa,daaaah!!salalaaa na kuzimiaaaa,kuaziaa nywelee hadi figaaa wacha tu nikufagilie....[ntarudiiiiiiiiiiiiiiiiiiii]
   
 8. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  yooh yooh yooh ahh nimesahau ivi rudiaa
   
 9. Godfrey Electronics

  Godfrey Electronics JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 587
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  nakuzimia, a ah nakutania. Kwanza nakuchukia ndo mana nakuchunia. Wewe una mkia, halafu unaning'ang'ania
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  yoyoyoyo..aah..nakuzia nina nia,
  mchana ninalia,
  usiku naumia,
  nataka we wangu kukuoa na nia,
  ooh baby gal acha kunibania,
  rafikizo wameolewa suzy hadi sonia,
  sina pakupandia wala pakushushia,
  njoo ule vanila mabaga sio bamia,
  mapenzi moto moto kama mzee wa mia,
  njoo ule halua,
  njoo unipelo tunda nilile kwa kumung'unya,
  kwenye beat nakaza,
  sitaki tena kumia,
  na kwa hizi lyrics lazima utanipa mia.
   
 11. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kiroba kimoja kwa kila mstari pesa sitoi
   
 12. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hakikisha isewe na ladha ya serengeti
   
 13. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  duuh we nomaa! Sasa hapa nitatumia sauti ya ngapi,au ndo zile za kubana pua
   
 14. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mmh we unataka nisiuze albamu
   
 15. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kudadadekii jf hata watunzi mpo!,hapa bdo chorus tu.
   
 16. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,107
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  full hip hop nyeusiiii ka gizaaaaaaaaaaaaa
   
 17. La kuchumpa

  La kuchumpa Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ah yeah huwezi amini nikwambia,naongea kwa utani lakini moyo unajua, ya kuwa we ndo wangu wa ndani, sipagawi na husninyo na jane,ingawa some tym wananichanganya akili ila we ndo nakuzimia umeniskia? Oh yeah mbona beat siisikii au umepagawa na mistari yangu inavyoku heal ka masii..
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0


  wasanii wa kibongo ndio reflection toka kwenu...upuuzi mtupu.....ndio maana siku hizi hamna jipya kwenye tungo za wasanii.....
   
 19. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  si wanasema hipho haiuzi au mambo yame change?
   
 20. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hee hao warembo nao ni wataje? Sasa unataka nitengeneze bifu na naniliuu?
   
Loading...