Tetes:Balal yu hai...?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetes:Balal yu hai...??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyang'omango, Mar 15, 2012.

 1. N

  Nyang'omango Senior Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nilipata kusikia kuwa aliekuwa Gavana wa BOT yu hai na alikuwa na shauku ya kuludi Tz na habari hiyo ilitamka kuwa ametoa cku za ujio wake,story hiyo iliishia wap..? Je kuna ukwel wowote ndan yake...? naomba mnijuze wana JF
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kweli wewe ni Junior Member.
   
 3. N

  Nyang'omango Senior Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nilipata kusikia kuwa aliekuwa Gavana wa BOT kuwa yupo hai,na alikuwa na shauku ya kuludi TZ,na habari hiyo ilotolewa pale walipotaka kumng'oa Gamba mmoja wa wamiliki wa Richie mtoto Mondi,naomba wana JF mnijuze kama kuna ukweli juu ya hilo....??
   
 4. M

  Mbuli Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  duh.... Hili lilishadiliwa siku nyingi tena mara nyingi
   
 5. N

  Nyang'omango Senior Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Jibu swali mkuu...!!
   
 6. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mwambie mwenzako jamani lol
   
 7. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  halafu ujue hajakuelewa !
   
 8. N

  Nyang'omango Senior Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kuona kumbe lilishajadiliwa,yawezekana kwa mda ambao mi najiunga na jf hoja hii ilishapita,naweza pata japo jibu la ukweli au tetea tu...??
   
 9. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  mkuu najibu swali sasa.....arudi alienda wapi?
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Balali mbona yupo Bongo jamani? Ila hamtaweza kumtambua kivile, kwani amevaa musk yenye taswira kama ya jamaa moja aliyewahi kuwa balozi hapa tanzania.
   
 11. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jeanamu kumbe sikuhizi mtu akienda anarudi?!
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Yuko kitaa cha mburahati..
   
 13. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nani huyo aliyekudanganya balali alienda jeanamu? au siku hizi marekani ndiko jeanumu?
   
 14. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Muache, akishakuwa JF Premium Member au JF Senior Expert Member atanielewa.
   
Loading...